Picha - Nairobi ilivyokua miaka ya 60

Picha - Nairobi ilivyokua miaka ya 60

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mara nyingi nimewaona watu humu wakijiliwaza kwamba sababu za Kenya kuwashinda kimiundo mbinu ni kwamba mzungu aliwacha kama ameitengeneza. Sasa hizi hapa picha za jinsi mkoloni aliiacha, wenyewe tumeijenga Kenya bati kwa bati, tofali kwa tofali, mbao kwa mbao

Hii hapa barabara ya Mombasa-Nairobi miaka ile
thumb_otylcyxahkxwpuli5a802ad04b8a1.jpg


Picha ya ilivyo sasa
maxresdefault.jpg


Nairobi ya kitambo
thumb_eni7lw0wjm078ux1fu5a8029bc342b8.jpg


Nairobi ya leo
Nairobi_1237.jpg



Moi Avenue ya wakati wa mzungu
Government-Road-Nairobi.jpg



Moi Avenue ya leo
the-ambassador-hotel-on-moi-avenue-in-nairobi-kenya-picture-id128546693



Kenyatta avenue, wakati ikiitwa Delamere avenue
6th-Avenue-Nairobi.jpg


Kenyatta avenue ya leo
11453823.jpg
 
acha kudanganya raia ...mzungu wakati anaiacha nairobi ilikuwa hvyo kweli !???
 
Kwani kuna mzungu aliondoka Kenya au utawala ulibadilishwa na kuweka kibaraka wao mweusi kutawa badala yao

Kama mashamba yenye rutuba bado yanamilikiwa na wazungu sasa unazungumzia mzungu yupi aliyeondoka
nilisahau mkuu
 
Ngoja tu nipige jungu kama liwalo na liwe.

Sasa umeleta humu ili tufanye nini.? Kwanza unatudanganya unadhani wote tunapanda matatu eeh.? [emoji3] [emoji3]

Hongereni bati kwa bati, tofali kwa matete
 
wataendelea kuwa mabeki 3 wa wazungu na kujifariji ni mali zao wakija kusepa watabaki kama zimbabwe
Wahatasepa lazima wawatale mpaka vichwa viwakae sawa soma ngugi wathiong'o "This time tomorrow" utawaonea huruma wajinga wakenya


Poor kenyan

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
 
Kenya sijui ilishauzwaga KITAMBO kwa wazungu kina Lord Dalamare!!!
 
Ndo kusema MK254 kala knock out mapema hivii[emoji2]

Katoka ndukiiii.Nchi pekee ambayo wananchi wake wanaongozwa na maraisi wawili mmoja akiwa raisi hewa.Asee 254 kuna nyumbu jamani duh!Yaani hadi leo hawajagundua kuwa raila kawaingiza cha kike.
 
Katoka ndukiiii.Nchi pekee ambayo wananchi wake wanaongozwa na maraisi wawili mmoja akiwa raisi hewa.Asee 254 kuna nyumbu jamani duh!Yaani hadi leo hawajagundua kuwa raila kawaingiza cha kike.
Labda kaenda google hebu tumpe muda!
 
Hata mwanza kuna city center na buswelu,sasa unaweka picha za sehemu moja ya nairobi unatuaminisha nairobi yote ilikua hivo ? ,cheap evidance
 
Katoka ndukiiii.Nchi pekee ambayo wananchi wake wanaongozwa na maraisi wawili mmoja akiwa raisi hewa.Asee 254 kuna nyumbu jamani duh!Yaani hadi leo hawajagundua kuwa raila kawaingiza cha kike.
hao jamaa kwa comedy wapo vizuri huyo jamaa aliyemuapisha raila naskia nchi yake ya Canada wamemuhitaji nyumbani kwahiyo serikali ya kenya ikaamua kumuwahisha kwao
 
Watz walishazoeshagwa sana kukariri. Eti Nairobi ilijengwa na wazungu! Sasa sijui huo uongo unakuwaga kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom