Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo huwa nachoka kbs plate no zao yaani zipo hvyo kbs ...ukitazama plate namba zote kuanzia ug,tz,bur,rwnd za kwao tu ndo hvyo kbs maandishi makubwa yasiyo ba mvuto hta kidogo sijui watabadilika lini hawa ndg ztuKumbe maandishi makubwa kwenye plate number za gari mlianza kutumia toka kitambo!!!!
Kazi ya nunber plate ni nini? Si ni namba ziweze kuonekana kiuhakika? Kwani inabadilisha 'engine', muundo wa gari au uwezo wa dereva kuendesha gari lenyewe?hapo huwa nachoka kbs plate no zao yaani zipo hvyo kbs ...ukitazama plate namba zote kuanzia ug,tz,bur,rwnd za kwao tu ndo hvyo kbs maandishi makubwa yasiyo ba mvuto hta kidogo sijui watabadilika lini hawa ndg ztu
kumbe namba zionekane tu bc anzeni kuchora kwa mkaa tu zitaonekana vzr kbsKazi ya nunber plate ni nini? Si ni namba ziweze kuonekana kiuhakika? Kwani inabadilisha 'engine', muundo wa gari au uwezo wa dereva kuendesha gari lenyewe?
magari yenu yakipitaga ni hizo namba huwa yananitisha maana sijazoea vitu vya ajabu ajabu mieWewe namba za usajili kwa magari kazi yake nini kama sio utambulisho, kwani unafikiria ni fashion show.
Ile kauli yao ilisha badilisha gia angani pia. Sasa hivi imekuwa # Hapa kazi duh!If you read in between the lines this tanzanians are finally owning up to the fact that we keep beating them ten nil,na wivu ndio wamejaza[emoji16][emoji16]
Dingi Leo umekula za UsoWewe namba za usajili kwa magari kazi yake nini kama sio utambulisho, kwani unafikiria ni fashion show.
Walikuwa njema sanaHawana walichoongeza hao
wakenya bn sijui wanaonaga watu maboya sn ?!!!![]()
Do some research on this topic wacha kutumia akili kama kofia na pia internet siyo ya pornography peke yake... Unadhihirisha ujinga wa waTanganyika na kudhalilisha nchi yako.Hawana walichoongeza hao
LDC mtatuelimisha nini wakati hata barabara na magari hamna. Tz ni nchi mojawapo Masikini wa kutupwa duniani level moja na Somalia, Afghanistan, newly formed South Sudan(angalia mitandaoni Kama S. Sudan ni LDC kama nyinyi).kumbe namba zionekane tu bc anzeni kuchora kwa mkaa tu zitaonekana vzr kbs
😀😀😀😀😀 ponoo ndo zao, wakimaliza wanawafata kina sijui zari na mobetto kule insta!Do some research on this topic wacha kutumia akili kama kofia na pia internet siyo ya pornography peke yake... Unadhihirisha ujinga wa waTanganyika na kudhalilisha nchi yako.
hiyo picha ya saopaul unasema Nairobi 😂😂🤣🤣🤣🤣Mara nyingi nimewaona watu humu wakijiliwaza kwamba sababu za Kenya kuwashinda kimiundo mbinu ni kwamba mzungu aliwacha kama ameitengeneza. Sasa hizi hapa picha za jinsi mkoloni aliiacha, wenyewe tumeijenga Kenya bati kwa bati, tofali kwa tofali, mbao kwa mbao
Hii hapa barabara ya Mombasa-Nairobi miaka ile
![]()
Picha ya ilivyo sasa
![]()
Nairobi ya kitambo
![]()
Nairobi ya leo
![]()
Moi Avenue ya wakati wa mzungu
![]()
Moi Avenue ya leo
![]()
Kenyatta avenue, wakati ikiitwa Delamere avenue
![]()
Kenyatta avenue ya leo
![]()