Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mimi hapa kibabu, unasemaje; uko tayari manake na mimi natafuta chicks; manake na hawa wazee wenzetu cku hizi; mnh!
Mambo c ndo haya!!! Ndo maana mi napenda totoz za kidijitali, haina kutafuna tafuna kucha wala nini kama hawa wenzetu wa analojia. niambie bac mama, ulisema unataka nn na nn vile? simu ya kamera unayo?hahaha niwe tayari mara ngapi!!!!!!!
Mambo c ndo haya!!! Ndo maana mi napenda totoz za kidijitali, haina kutafuna tafuna kucha wala nini kama hawa wenzetu wa analojia. niambie bac mama, ulisema unataka nn na nn vile? simu ya kamera unayo?
bhana mi nataka uniitage kwa kale kajina kenu mnakoitanaga bana! cjui mnaitanagaa-a-a- baby! yes, baby! ukiendelea kuniita babu utaambulia tecno tu hapa; shauri yako. ukitaka nikufungulie collection & expenditure accounts, bac hapa ni baby tu.hahaha eti ngoja nikafikirie wafikiria vinini hasa kama ni NO ni NO tu na kama ni YES ni YES tu...
bajeti yangu yaja sifa ya vibabu vyajua kugharamia.........ko kaa tayari ati
bhana mi nataka uniitage kwa kale kajina kenu mnakoitanaga bana! cjui mnaitanagaa-a-a- baby! yes, baby! ukiendelea kuniita babu utaambulia tecno tu hapa; shauri yako. ukitaka nikufungulie collection & expenditure accounts, bac hapa ni baby tu.
muongo huyo anaku laghai tu anapenda watoo wa anolojia bhana huyosawa baby.....uzee mwisho Chalinze mjini wote baby.......
Mi mwenyewe natafuta kibabu wallahi.........vijana hawa stress tupu
yaani leo najickia raha, hadi basi...full muscles like a superman halafu wanatokea mbwiga wengine wanadai eti mwaka aliozaliwa Elvis Presley ndo niliozaliwa mimi!!! Fitina mbaya...Sema mingine mizee bhana, and only few of us ndo just babies.sawa baby.....uzee mwisho Chalinze mjini wote baby.......
Watanganyika kwa majungu na fitina; hamjambo. mshaona mtoto kaingia laini, mnaanza majungu wakati watu tushaanza arrangement za kwenda kwenye show ya mzee King Kiki; mzee wa kitambaa cheupe; wewe!! Acha mtoto ale pepo hapa hapa duniani;we huoni hata jina lake? Keshachoka na vibrazamen; hela hamna halafu mnataka totoz za ukweli.muongo huyo anaku laghai tu anapenda watoo wa anolojia bhana huyo
acha ukuwadi kijana, umtafutie kibabu my sweetie babe wangu?! n'takutegeshea bibi mwenye ngoma; ukufilie mbali na njaa zako hizo.Nko zng Dodoma nataka nichakate nipate bibi hawa wenye ma V8 na mm stress nshachoka ukickia niambie wkt na mm nakutafutia kibabu
acha ukuwadi kijana, umtafutie kibabu my sweetie babe wangu?! n'takutegeshea bibi mwenye ngoma; ukufilie mbali na njaa zako hizo.
Dodo ya nini wakati nipo na my apple langu hapa....hushangai hata jamvini hayupo hv sasa; kusoma hujui hata picha ukutani huzioni?! Yaani ni hadi nimwage mchele kwamba nipo nae hv sasa...kardhiiiiiika, kelele hataki so, acha kutu-disturb.Haahaaa kiongozi mpk dada angu anatafuta kibabu itakua unampa stress sio bure mm nakusaidia unaweza okota dodo kwny mpapai my babe wako akipata kibabu
Niunganishe tu.......mambo ya kujifanya ujana ulikula na nani hayapo bana..mambo ya kamata fursa
we unazo ndo kwa nasikia we muuza ............................ukipata siku hio kwenda kutafuta changudoz au sio dada anguWatanganyika kwa majungu na fitina; hamjambo. mshaona mtoto kaingia laini, mnaanza majungu wakati watu tushaanza arrangement za kwenda kwenye show ya mzee King Kiki; mzee wa kitambaa cheupe; wewe!! Acha mtoto ale pepo hapa hapa duniani;we huoni hata jina lake? Keshachoka na vibrazamen; hela hamna halafu mnataka totoz za ukweli.
Dodo ya nini wakati nipo na my apple langu hapa....hushangai hata jamvini hayupo hv sasa; kusoma hujui hata picha ukutani huzioni?! Yaani ni hadi nimwage mchele kwamba nipo nae hv sasa...kardhiiiiiika, kelele hataki so, acha kutu-disturb.