Picha namna K-Lyn alivyosherekea birthday party yake chini ya Mengi na Diamond Platnum

hahaha niwe tayari mara ngapi!!!!!!!
Mambo c ndo haya!!! Ndo maana mi napenda totoz za kidijitali, haina kutafuna tafuna kucha wala nini kama hawa wenzetu wa analojia. niambie bac mama, ulisema unataka nn na nn vile? simu ya kamera unayo?
 
hahaha eti ngoja nikafikirie wafikiria vinini hasa kama ni NO ni NO tu na kama ni YES ni YES tu...

bajeti yangu yaja sifa ya vibabu vyajua kugharamia.........ko kaa tayari ati
 
bhana mi nataka uniitage kwa kale kajina kenu mnakoitanaga bana! cjui mnaitanagaa-a-a- baby! yes, baby! ukiendelea kuniita babu utaambulia tecno tu hapa; shauri yako. ukitaka nikufungulie collection & expenditure accounts, bac hapa ni baby tu.
 
sawa baby.....uzee mwisho Chalinze mjini wote baby.......
 
yaani leo najickia raha, hadi basi...full muscles like a superman halafu wanatokea mbwiga wengine wanadai eti mwaka aliozaliwa Elvis Presley ndo niliozaliwa mimi!!! Fitina mbaya...Sema mingine mizee bhana, and only few of us ndo just babies.
 
muongo huyo anaku laghai tu anapenda watoo wa anolojia bhana huyo
Watanganyika kwa majungu na fitina; hamjambo. mshaona mtoto kaingia laini, mnaanza majungu wakati watu tushaanza arrangement za kwenda kwenye show ya mzee King Kiki; mzee wa kitambaa cheupe; wewe!! Acha mtoto ale pepo hapa hapa duniani;we huoni hata jina lake? Keshachoka na vibrazamen; hela hamna halafu mnataka totoz za ukweli.
 
Nko zng Dodoma nataka nichakate nipate bibi hawa wenye ma V8 na mm stress nshachoka ukickia niambie wkt na mm nakutafutia kibabu
acha ukuwadi kijana, umtafutie kibabu my sweetie babe wangu?! n'takutegeshea bibi mwenye ngoma; ukufilie mbali na njaa zako hizo.
 
Haahaaa kiongozi mpk dada angu anatafuta kibabu itakua unampa stress sio bure mm nakusaidia unaweza okota dodo kwny mpapai my babe wako akipata kibabu
 
Dodo ya nini wakati nipo na my apple langu hapa....hushangai hata jamvini hayupo hv sasa; kusoma hujui hata picha ukutani huzioni?! Yaani ni hadi nimwage mchele kwamba nipo nae hv sasa...kardhiiiiiika, kelele hataki so, acha kutu-disturb.
 
Watanganyika kwa majungu na fitina; hamjambo. mshaona mtoto kaingia laini, mnaanza majungu wakati watu tushaanza arrangement za kwenda kwenye show ya mzee King Kiki; mzee wa kitambaa cheupe; wewe!! Acha mtoto ale pepo hapa hapa duniani;we huoni hata jina lake? Keshachoka na vibrazamen; hela hamna halafu mnataka totoz za ukweli.
we unazo ndo kwa nasikia we muuza ............................ukipata siku hio kwenda kutafuta changudoz au sio dada angu
 
Dodo ya nini wakati nipo na my apple langu hapa....hushangai hata jamvini hayupo hv sasa; kusoma hujui hata picha ukutani huzioni?! Yaani ni hadi nimwage mchele kwamba nipo nae hv sasa...kardhiiiiiika, kelele hataki so, acha kutu-disturb.

Duh lkn unaninanga pekee mbn maana naona mafundi bomba tupo wengi mfn#white girl#kasema anamuunganisha my babe wako kwa kibabu nahc itakua tayari ila haumnangi et mm nimekoma
 
Yaani Mengi na uzee wote huo alafu eti ohh i lobe my baby he is soo handsome ! Dah kweli pesa mwanaharamu
 
Back
Top Bottom