Picha namna K-Lyn alivyosherekea birthday party yake chini ya Mengi na Diamond Platnum

Hivi anakuaje na ngwengwe na juzi juzi wamezaa watoto mapacha?

Labda nahisi bdo hujajua ugumu wa maisha ki ujumla. Watu wanajitoa kafara mkuu wapate maisha mazuri. Watu wanaogopa malaria we unaogopa ngwengwe ??? Hata mi nlishawahi jiuliza hlo swali kama ww. Its obvious watoto watakua wamepona.
 
kwani mtu akiwa na ngwengwe ndiyo haruhusiwi kuzaa.....?

Nashangaa....watu wanaangalia ukwasi tu itafahamika mbele lea mbele hyo. Mjini hpa. Tusali sana kwa Mungu atuondolee tamaa ya maisha. Watu wanaua ndugu kisa hela sembuse ngwengwe ???
 
Nashangaa....watu wanaangalia ukwasi tu itafahamika mbele lea mbele hyo. Mjini hpa. Tusali sana kwa Mungu atuondolee tamaa ya maisha. Watu wanaua ndugu kisa hela sembuse ngwengwe ???

na ukizingatia hii kitu unafwata mashart tu......mambo yanakuwa safi......

Mungu atusaidie haswa mana hali mbaya.....
 
Hali mbaya kweli kweli sio utani. Watu kibao wna ngwengwe mjini hapa take note na life linaenda fresh tu. It's a scary world out there I tell u.
 
Kwahiyo na papa anaishi kwa stress au papa nae ni mzima
 
Pesa kweli balaa,huyu Jacquiline Ntuyabaliwe na uzuri wake wote ana share shuka na mwanaume sawa na kaka wa baba yake.
Hahaaaaaa,mkuu ulitaka ashee shuka na mwanaume mwenye umri sawa na nani?
 
Mariah Carey na usupastaa wote huko kwa Ghadafi alishatumbuiza Chumbani kwake ndio iwe kwa Dangote wa Bongo aka Platinumz.Pesa hata ukiambiwa uimbe msalani speaker ziwekwe Sitting Room utafanya.Chezea pesa wewe
 
Du! Jaq habadilik jaman mtoto kamzid hadi bibi bomba wetu aliyejshusha umri na rundenga kamkabidh taji
 
Pesa kweli balaa,huyu Jacquiline Ntuyabaliwe na uzuri wake wote ana share shuka na mwanaume sawa na kaka wa baba yake.

Hiyo kwa wanawake ni haki ila sisi masela tukijiopolea misugarmummy kelele kama mtu amefumwa na bichwa la albino.
 
Mariah Carey na usupastaa wote huko kwa Ghadafi alishatumbuiza Chumbani kwake ndio iwe kwa Dangote wa Bongo aka Platinumz.Pesa hata ukiambiwa uimbe msalani speaker ziwekwe Sitting Room utafanya.Chezea pesa wewe

Hahaha nimecheka sna na post yako. Daaaah.
 
Ana ngwengwe huyo. Hamna kitu hapo.
Bora yeye ana ngwengwe anaish vizuri maisha bora,anakula vizuri na magonjwa nyemelezi anayatibu kwa tiba bora,kulikoo wewe huna ngwengwe umejaa stress,shida,kifua,mafua,homa vumbi madeni na karaha!na ebola ikija siku ya tatu tu unao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…