kkenzki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 1,498
- 2,483
Ana ngwengwe huyo. Hamna kitu hapo.
Hivi anakuaje na ngwengwe na juzi juzi wamezaa watoto mapacha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana ngwengwe huyo. Hamna kitu hapo.
Hivi anakuaje na ngwengwe na juzi juzi wamezaa watoto mapacha?
Hivi anakuaje na ngwengwe na juzi juzi wamezaa watoto mapacha?
kwani mtu akiwa na ngwengwe ndiyo haruhusiwi kuzaa.....?
Nashangaa....watu wanaangalia ukwasi tu itafahamika mbele lea mbele hyo. Mjini hpa. Tusali sana kwa Mungu atuondolee tamaa ya maisha. Watu wanaua ndugu kisa hela sembuse ngwengwe ???
Chezea pesa............., mtu unaamua kujilipua tu
Huyu jackline hachuji,tangu alivyo kuwa 2001 mpaka leo bado yupo vile vile kamzid hadi SITTI MTEMVU kwa uzuri
Hahaaaaaa,mkuu ulitaka ashee shuka na mwanaume mwenye umri sawa na nani?Pesa kweli balaa,huyu Jacquiline Ntuyabaliwe na uzuri wake wote ana share shuka na mwanaume sawa na kaka wa baba yake.
sasa kifront front cha kuifungua cha nini na wewe.We kama stress za kuzomewa bado unazo funga.Hii habari ilishawekwa humu kitambo!
Hachuji wapi wakati anaishi kwa kula ARV's
Pesa kweli balaa,huyu Jacquiline Ntuyabaliwe na uzuri wake wote ana share shuka na mwanaume sawa na kaka wa baba yake.
Mariah Carey na usupastaa wote huko kwa Ghadafi alishatumbuiza Chumbani kwake ndio iwe kwa Dangote wa Bongo aka Platinumz.Pesa hata ukiambiwa uimbe msalani speaker ziwekwe Sitting Room utafanya.Chezea pesa wewe
Bora yeye ana ngwengwe anaish vizuri maisha bora,anakula vizuri na magonjwa nyemelezi anayatibu kwa tiba bora,kulikoo wewe huna ngwengwe umejaa stress,shida,kifua,mafua,homa vumbi madeni na karaha!na ebola ikija siku ya tatu tu unao...Ana ngwengwe huyo. Hamna kitu hapo.