Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
CHAKULA, MALAZI, MAVAZIKwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHAKULA, MALAZI, MAVAZIKwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
Sasa utumishi wake una saidia nini kutatua kero za wananchi?Mi nachompendeaga huyu jamaa ni kusali anasali sana huyu mtumish siyo mpagan January makamba
Watanzania wakipewa ubwabwa wanasahau shida za maji kwa muda wa miaka kenda!Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Hao ndo CCM mkuu.
Watu wanataka vifaa tiba, wenyewe wanapeleka ubwabwa
Mwenzake kawachongea madrafti, madubwi na mabao yenye picha yake waendelee kuchezaWakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Njaa ni ugonjwa mbaya sàna.Hao ndo CCM mkuu.
Watu wanataka vifaa tiba, wenyewe wanapeleka ubwabwa
Lazima wapige picha maana hata wao wanaona ni jambo la ajabu kabisa kuishi maisha haya ambayo kwao hawakuumbwa kuyaishi.Wakuu,