Pre GE2025 Picha: Nape Nnauye atua mtaani akiwa na nguo za kiraia huku akila ubwabwa na wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo unaouita Ujinga, umeuanzishia kbs thread!
 
Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Watanzania wakipewa ubwabwa wanasahau shida za maji kwa muda wa miaka kenda!
 
Hao ndo CCM mkuu.

Watu wanataka vifaa tiba, wenyewe wanapeleka ubwabwa


Wee acha ujinga, CCM unaitaja taja pumbaf kabisa, ukome, naona sbb unafungua fungua mdomo free umeona CCM haina mdomo wa kusema, nakupa onyo CCM sio wapuuzi unavyojua ww, stop that nosense, bila CCM leo mngekuwa kama Kenya au Congo au CAR au Sudan au Egypt au Gabon etc, naona hujawahi fika hizo nchi na kujua umuhimu wa CCM, tena shukuru Mungu hata saa hizi uko free unachat chat free, wako binadamu saa hizi hata hawajuani ndugu wako wapi, hakuna amani wala usalama, angalia Msumbiji hapo jirani, utakimbia ujutie, shukuru Mungu CCM ipo imara, nakwambia maana wewe bado mdogo sana kujua dunia hii..!!

Bila CCM imara nchi yetu itayumba na kupotea kabisa, mfano nchi uwape CHADEMA, umeona jinsi wao kwa wao ni vita vya kufa na kupona kupambania madaraka tena wao binafsi chamani, hii nchi yetu nzuri sana Tanzania, nasema wazi kabisa kama huna exposure huwezi jua nasema nn, bila CCM imara nchi yetu inapotea kabisa..
 
Mwaka wa uchaguzi huu tutashuhudia mengi.
 
Mwenzake kawachongea madrafti, madubwi na mabao yenye picha yake waendelee kucheza
 
Lazima wapige picha maana hata wao wanaona ni jambo la ajabu kabisa kuishi maisha haya ambayo kwao hawakuumbwa kuyaishi.
 
Afadhali na huyu 🤣🤣 makamba yeye kapeleka madraft
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…