tunawahitaji watu kama hawa kupita kiasi......hawa ni wapenzi wa chama kwelikweli
Dah, masikini! Hivi watanzania mbona hawashiriki kwenye kampeni za vyama kama hivi? Kweli wagombea hawauziki?
Vibaraka wa sisiem tu hao, hawana lolote. Ruzuku wanapata wapi ikiwa wana idada finyu sana ya viti mjengoni. :confused2:Mzee ulipotelea wapi? Ningekuwa nimeokoka ningekemea chama hiki kisambaratike kabisa na pasije ikatokea duniani kote pakawepo tena chama kinachofana na hiki; ningekuwa msajili wa vyama duniani, ningetafuta sababu yoyote ile hadi nikakifuta dunia nzima! Aheri hata UDP-CCM ya Cheyo
Hata Marekani kuna vyama zaidi ya Republican na Democratic. Lakini hivyo vingine ni no-hopers. Nobody pays attention to them. Vivyo hivyo hapa.Mkuu Kibunango,
Shukrani sana. Ni information MUHIMU ambayo tulikuwa tunaikosa tumepumbazwa na siasa za CCM, CUF na CHADEMA... Hivi vyama vingine hatujavitendea haki kutoleta picha za mikutano yao, tatizo inaonyesha hali si nzuri hata kidogo kwa upande wao!
Hawa ni wamachinga wamejipumzisha.tunawahitaji watu kama hawa kupita kiasi......hawa ni wapenzi wa chama kwelikweli
Vibaraka wa sisiem tu hao, hawana lolote. Ruzuku wanapata wapi ikiwa wana idada finyu sana ya viti mjengoni. :confused2: