PICHA: Nchi kama hii hata magonjwa utayasikia redioni tu

PICHA: Nchi kama hii hata magonjwa utayasikia redioni tu

tungekuwa na uongozi wenye fikra tunduizi unatoka mbezi mwisho hadi mikoani unapita barabara ina miti ya matunda na mapambo kila aina pembeni.
 
Kuishi sehemu kama hii lazima utakuwa vizuri kichwani na afya ya mwili pia. Hapo kuishi miaka 120 kawaida tu.

Switzerland [emoji1237] View attachment 2951903
Uislamu unaenea kwa kasi sana huku Inshaallah muda si mrefu itakuwa mchi ya Kiiskam mashallah.
Maeneo mazuri duniani mnyaazi mungu alieapatia waislam, kama siyo makafili leo hii dunia yote tungekuwa ni waislam tupu tukiishi kwa amani tukifunga ma kuabudu mashalaah
 
Back
Top Bottom