Picha: Ney wa Mitego amuanika mtoto wa Skyner

Hivi siwema ashahamia kwa ney

La kuuliza hilo? Kuna kipindi alichambwa kule insta kuhus kibabu chake cha nigeria nkajua yy na ney ndo bhas, kumbe ndo kwanza wanaish wote, wametuacha wambea wote kwenye mataa n mshangao mkubwa, yan wametuaibisha hawa, kuchambwa kote kule hawakomi
 
Hhhhhaaaaa Ney alisema amemsamehee,halaf huyo bibie bado hajajifungua tu
 
Kwan ana mimba na yeye?? Kkhaa ila lazima wajirengeshe mimba unafanya utan nn na jumba la mil 700, sasa sijui yule kibabu ilikuwaje au ndo aliolewa kwa mkataba, ivi andunje wetu aka tajir wa ndoa dida yupo? Sijamsikia mda kweli
 
Eee labda kama kaitoa tena kubwa tu,dida sijuii habari yakee
 
La kuuliza hilo? Kuna kipindi alichambwa kule insta kuhus kibabu chake cha nigeria nkajua yy na ney ndo bhas, kumbe ndo kwanza wanaish wote, wametuacha wambea wote kwenye mataa n mshangao mkubwa, yan wametuaibisha hawa, kuchambwa kote kule hawakomi

Hahahaaaaa tushike jembe tukalime ss....
 
Hhhhhhaaaaa mlichamba mnoo eeee hhhaa

Mwenzangu, tukajua apa tumemaliza kazi, maana na video juu maana picha tukajua watasema photoshop, jaman wametuaibisha hawa? Ngoja dawa yao ipo jikon haiwezekan watuaibishe sie ma gwij wa mujini
 
Binamu unanichekeshaaaga wew
 
sina uhakika kama jamaa ndio baba wa mtoto..ngoja tusubiri maana hata mie nimelea mimba hii,baadaye kuna chotara mmoja naye akawa analea
 
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui

Binamu vp huyu Mtoto nyendo zake katulia au ndio Kama wema ...namtamani kweli huyu
 
sina uhakika kama jamaa ndio baba wa mtoto..ngoja tusubiri maana hata mie nimelea mimba hii,baadaye kuna chotara mmoja naye akawa analea

mtoto anafanana na ney sema mweupe
muangalie sura yake kafanana nae afu mbona ishu ya zamani kwamba alikua anatoka nae
aliolewa akaachika ndani ya miezi michache maana mmewe aligundua kamuoa kumbe mjamzito na ya mtu mwingine
 
kweli kabisa afu anafanana na ney sema keupe
ila huyo skaina mwehu mtoto miaka miwli akalelewe na mama mlezi tena upo hai safe and sound?!!

Da huyo skyner ni mtu wa kula bata monday to sunday, alafu pia ni mtumiaji wa gomba kwa kwenda mbele Yaani Full Handas hata suma lee aoni ndani ss unategemea mtu ana hangover daily ataweza kulea mtoti kweli au ndio mtoto ataishia kuwa abused na house girl....
 
aisee kweli kulea mimba si kazi kazi kulea mwana!
 
Na demu nae mwanzo alikuwa anaona aibu kutangaza kuwa kazaa na ney, ila ney alivyojenga nyumba ya mil 700 na kununua gari la kifahar la mil 300 demu ndo kajiongeza sasa na kujitangaza kuwa kazaa na ney, ila katoto kazur aiseeh

Ebu Nishushe tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…