serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Ndo nani huyo?
ni dereva huko ikulu...ila anafanya muziki kama part time..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nani huyo?
sasa na huyo aliyopo ndani ndio Timbwili linapoanzaga hapo pole yao
Hivi siwema ashahamia kwa ney
La kuuliza hilo? Kuna kipindi alichambwa kule insta kuhus kibabu chake cha nigeria nkajua yy na ney ndo bhas, kumbe ndo kwanza wanaish wote, wametuacha wambea wote kwenye mataa n mshangao mkubwa, yan wametuaibisha hawa, kuchambwa kote kule hawakomi
Hhhhhaaaaa Ney alisema amemsamehee,halaf huyo bibie bado hajajifungua tu
Kwan ana mimba na yeye?? Kkhaa ila lazima wajirengeshe mimba unafanya utan nn na jumba la mil 700, sasa sijui yule kibabu ilikuwaje au ndo aliolewa kwa mkataba, ivi andunje wetu aka tajir wa ndoa dida yupo? Sijamsikia mda kweli
Huyo Siwema ashahama Mwanza?? Nae si ana mimba bado hajajifungua tu???
mimba ya siwema ilitoka mbona kitambo
La kuuliza hilo? Kuna kipindi alichambwa kule insta kuhus kibabu chake cha nigeria nkajua yy na ney ndo bhas, kumbe ndo kwanza wanaish wote, wametuacha wambea wote kwenye mataa n mshangao mkubwa, yan wametuaibisha hawa, kuchambwa kote kule hawakomi
Naonaje aibu? Umbea huu tutachomwa moto midomo hii binamu mweeh
Mwenzangu, tukajua apa tumemaliza kazi, maana na video juu maana picha tukajua watasema photoshop, jaman wametuaibisha hawa? Ngoja dawa yao ipo jikon haiwezekan watuaibishe sie ma gwij wa mujini
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui
sina uhakika kama jamaa ndio baba wa mtoto..ngoja tusubiri maana hata mie nimelea mimba hii,baadaye kuna chotara mmoja naye akawa analea
kweli kabisa afu anafanana na ney sema keupe
ila huyo skaina mwehu mtoto miaka miwli akalelewe na mama mlezi tena upo hai safe and sound?!!
Da huyo skyner ni mtu wa kula bata monday to sunday, alafu pia ni mtumiaji wa gomba kwa kwenda mbele Yaani Full Handas hata suma lee aoni ndani ss unategemea mtu ana hangover daily ataweza kulea mtoti kweli au ndio mtoto ataishia kuwa abused na house girl....
Na demu nae mwanzo alikuwa anaona aibu kutangaza kuwa kazaa na ney, ila ney alivyojenga nyumba ya mil 700 na kununua gari la kifahar la mil 300 demu ndo kajiongeza sasa na kujitangaza kuwa kazaa na ney, ila katoto kazur aiseeh