Picha: Ney wa Mitego amuanika mtoto wa Skyner

Picha: Ney wa Mitego amuanika mtoto wa Skyner

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mambo hadharani

Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ' Nay wa Mitego ' kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally ' Skaina ' na kukiri kwamba ni wa kwake.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Nay alisema kuwa anampenda mwanaye huyo na kwa sasa anaishi naye nyumbani kwake. Kimara -Baruti , Dar na ana umri wa miaka miwili na nusu anayejulikana kwa jina la Munie.

"Nampenda sana mwanangu ndiyo maana nimeamua kumchukua kwa mama yake Skaina na kuja kumlea kwangu, analelewa vizuri sana na mama yake ambaye ni Siwema namshukuru Mungu mwanangu anaendelea kukua, nafurahia sana kukaa na mwanangu karibu tofauti na alivyokuwa kwa mama yake, " alisema Nay wa Mitego.

Skaina aliwahi kukiri kuwa mwananye huyo baba yake ni Nay lakini baada ya Nay kuulizwa alichengachenga hivyo sasa ameamua kumuweka wazi .
 
Attachments

  • 1410152178569.jpg
    1410152178569.jpg
    69.8 KB · Views: 2,300
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui
 
Attachments

  • 1410152467025.jpg
    1410152467025.jpg
    74.1 KB · Views: 1,914
Yaaaala kweli huyu dada ni mzuri . Ila sijaelewa swala la Ney kupiga chenga hapo mwanzo lina subiri hadi mtoto akue ndo aanze kumtaka . Hawa vijana bwana !
Ila bora amewahi mapema
 
Yaaaala kweli huyu dada ni mzuri . Ila sijaelewa swala la Ney kupiga chenga hapo mwanzo lina subiri hadi mtoto akue ndo aanze kumtaka . Hawa vijana bwana !
Ila bora amewahi mapema

Na demu nae mwanzo alikuwa anaona aibu kutangaza kuwa kazaa na ney, ila ney alivyojenga nyumba ya mil 700 na kununua gari la kifahar la mil 300 demu ndo kajiongeza sasa na kujitangaza kuwa kazaa na ney, ila katoto kazur aiseeh
 
Katoto kazuri kweli kweli, tunaomba siwema umlee vizuri huyo mtoto abaki na afya yake aliyonayo
 
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui

Dada mzuri sana huko dar magentleman hawaoni product nzuri kama izi
 
Katoto kazuri kweli kweli, tunaomba siwema umlee vizuri huyo mtoto abaki na afya yake aliyonayo

kweli kabisa afu anafanana na ney sema keupe
ila huyo skaina mwehu mtoto miaka miwli akalelewe na mama mlezi tena upo hai safe and sound?!!
 
Shangaa na wewe, mtoto bado mdogo kumuacha akalelewe namama mwingine wakati na yeye yuko hapo hapo dar, anyway yawezekana mtoto anambana kufanya shughuli zake thats why kaamua kumpeleka kwa babake

kweli kabisa afu anafanana na ney sema keupe
ila huyo skaina mwehu mtoto miaka miwli akalelewe na mama mlezi tena upo hai safe and sound?!!
 
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui

hamna demu hapo labda ---- lile ndo linavutia na macho hayo. unaeza kuta kina kirefu ndo maana mchizi kala mkunjo
 
kweli kabisa afu anafanana na ney sema keupe
ila huyo skaina mwehu mtoto miaka miwli akalelewe na mama mlezi tena upo hai safe and sound?!!

Ney ndo kamchukua, sasa na huyo siwema si amzalie mtoto tu, na yey anajisikiaje kulea mtoto ambae sie wake, hizo kaz za akina nanny aka mabeki tatu
 
Ma gentleman wanataka maduu wa chuo, classic, sasa hawa bongo movie wazur wa sura na shepu, kichwan hakuna kitu, na ndio maana ni nadra sana bongo movie kuolewa na wanaume wasomi wanaojielewa , hawa watazid kugongwa na mamburula wenzao tu

pole yao hao bongo movie
 
Shangaa na wewe, mtoto bado mdogo kumuacha akalelewe namama mwingine wakati na yeye yuko hapo hapo dar, anyway yawezekana mtoto anambana kufanya shughuli zake thats why kaamua kumpeleka kwa babake
yaani mi wanangu labda mama angu mzazi angekua hai ila ndugu wengine sina imani nao kabisa yaani
kwa kazi ashindwe kulea mwanawe tena mtoto mmoja
hana akili
 
Ney ndo kamchukua, sasa na huyo siwema si amzalie mtoto tu, na yey anajisikiaje kulea mtoto ambae sie wake, hizo kaz za akina nanny aka mabeki tatu

sio shida kulea mtoto wa mtu wa kulaumiwa ni mama hapo angeka kafa sawa yuko hai mwanawe eti analelewa
ye anaendekeza madanga ya mjini!!
 
Mmh demu mkali kama wewe unaenda kuzaa na mvuta bangi ney wa mitego, kweli mastaa wa bongo hamjitambui

Binamu huyu demu ana uzuri gani? tumbo hilo , hana shepu . naona weupe unakuchanganya sana binamu.
 
Waachen wasanii kwa wasanii ndyo wanawezana mtu WA kawaida kumuoa msanii Ni majanga, hamumuoni Sunday dimonte anavyopata shida kumhandle aunt Ezekiel au clement alivyopata shida na wema
 
Back
Top Bottom