Picha: Ney wa Mitego amuanika mtoto wa Skyner

Picha: Ney wa Mitego amuanika mtoto wa Skyner

Ni huku kwetu Tanzania ndio bado tuna shangaa. Ila kwenye nchi za wenzetu wazazi waki tengana sheria ina chukua mkondo wake, katika haki ya mtoto, ambapo mtoto anatakiwa aishi na mzazi mmoja wapo mwenye uwezo kifedha! Na atakae hakikisha mtoto ana pata mahitaji yote ya msingi! Kipindi ney wa mitengo ana waponda hawa mademu wa bongo movie watu wali kuja juu waka muona jamaa chizi hana chaku imba, ila ukweli ni kwamba ney ana wajua hawa mademu ndio maana demu kama huyo kaji legeza jamaa kapiga fasta afu kajikataa.. kaona hafai kua mke huyo wata sumbuana tu. Demu mwenyewe viwanja kila siku huyo mtoto ata mkuza saa ngapi?
 
Back
Top Bottom