BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Umasikini ndio mtaji namba moja usio teteleka wa CCM na kwa bahati mbaya sana wameongeza mataji wa pili ambao ni Yanga na Simba....
Ujinga uliotopeaUmasikini hauwezi kuwa mtaji Ila mtaji wa ccm ni watu
Kwani ni watu wangapi siyo masikini Tanzania ukilinganisha na wale ambao ni masikini?Umasikini hauwezi kuwa mtaji Ila mtaji wa ccm ni watu
Watu masikini hasa wazazi wako na wajomba zako kule SongeaUmasikini hauwezi kuwa mtaji Ila mtaji wa ccm ni watu
Kapewa Tshirt humuambii kitu kuhusu mboga mbogaUmasikini ndio mtaji namba moja usio teteleka wa CCM na kwa bahati mbaya sana wameongeza mataji wa pili ambao ni Yanga na Simba.
Ni wakati wa msikini kutumiwa kama kondomu na kupewa sh 2000/ hawa CCM hawako tiyali kuona wanaachana na umasikini.
View attachment 3068816
Umasikini ni issue ya mentality na sio kuwa ccm au chadema.Watu masikini hasa wazazi wako na wajomba zako kule Songea
- Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?!Umasikini ndio mtaji namba moja usio teteleka wa CCM na kwa bahati mbaya sana wameongeza mataji wa pili ambao ni Yanga na Simba.
Ni wakati wa msikini kutumiwa kama kondomu na kupewa sh 2000/ hawa CCM hawako tiyali kuona wanaachana na umasikini.
View attachment 3068816
Umasikini ndio mtaji namba moja usio teteleka wa CCM na kwa bahati mbaya sana wameongeza mataji wa pili ambao ni Yanga na Simba.
Ni wakati wa msikini kutumiwa kama kondomu na kupewa sh 2000/ hawa CCM hawako tiyali kuona wanaachana na umasikini.
View attachment 3068816
Sisi tutachagua CHADEMA kwakuwa tumechoka kuibiwa raslimali zetu. Tunatafuta angalau watu wa kutusemea kabla nchi haijauzwa yote. Palipouzwa panatosha wewe je?Binafsi haitokaa nichague CHADEMA kwenye level ya Urais, never, muundo wa Chama, viongozi wao, itikadi zao never ever.