Picha: Nikiwaambiaga Mtaji mkuu namba moja wa CCM ni umasikini huwa namanisha hivi.

Picha: Nikiwaambiaga Mtaji mkuu namba moja wa CCM ni umasikini huwa namanisha hivi.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Umasikini ndio mtaji namba moja usio teteleka wa CCM na kwa bahati mbaya sana wameongeza mataji wa pili ambao ni Yanga na Simba.

Ni wakati wa msikini kutumiwa kama kondomu na kupewa sh 2000/ hawa CCM hawako tiyali kuona wanaachana na umasikini.
Screenshot_20240813_172452_com.facebook.katana.jpg
 
Kwa hyo baada ya kuja kunipigia hodi kwangu kuomba kura hii ndio Zawadi mmeamua kuniletea cyo CCM ..
FB_IMG_1715771188553.jpg
 
Mimi nafikiri mtaji wa ujinga ndiyo mtaji mkubwa zaidi kuliko huo umasikini.

Kuna siku nilikuwa naongea na mtu kuhusu mambo ya uongozi wa nchi yetu na nikamwambia umefika wakati ccm wapumzike kiingie chama kingine kutuongoza akasema hiko chama hakiwezi kwanza polisi watapata wapi!

Kwa maana yeye anajua polisi ni wa ccm,tra ni ya ccm labda hata ikulu ni ya ccm!
 
Binafsi haitokaa nichague CHADEMA kwenye level ya Urais, never, muundo wa Chama, viongozi wao, itikadi zao never ever.
 
Umasikini ndio mtaji namba moja usio teteleka wa CCM na kwa bahati mbaya sana wameongeza mataji wa pili ambao ni Yanga na Simba.

Ni wakati wa msikini kutumiwa kama kondomu na kupewa sh 2000/ hawa CCM hawako tiyali kuona wanaachana na umasikini.
View attachment 3068816

Nini kiashiria cha umaskini kwenye hii picha? Kwanini mnapenda kutukana wazee nyie watu?

Angekuwa ndugu yako ungempost?
 
CCM walifanikiwa kueneza itikadi yao ikakubalika nchi nzima. Hawa Wengine ni kudandia hoja tu ukiuliza hata makada wao waandamizi itikadi yao ni.nini hawajui. Hapo ndipo hua naconclude kuwa Vyama vingine ni kivuli cha CCM ili wazungu waone kuna.mfumo wa Vyama vingi. Hata kukamatwa baadhi ya Wanasiasa jana na.Juzi ni.maigizo yaleyale tu.
 
Binafsi haitokaa nichague CHADEMA kwenye level ya Urais, never, muundo wa Chama, viongozi wao, itikadi zao never ever.
Sisi tutachagua CHADEMA kwakuwa tumechoka kuibiwa raslimali zetu. Tunatafuta angalau watu wa kutusemea kabla nchi haijauzwa yote. Palipouzwa panatosha wewe je?
 
Back
Top Bottom