toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
πππππPixel 3 used Tsh 250,000/=**
iPhone 14 Pro Max used Tsh 2.5M+
** Terms and Conditions to be Applied.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππPixel 3 used Tsh 250,000/=**
iPhone 14 Pro Max used Tsh 2.5M+
** Terms and Conditions to be Applied.
Vijana wa Darisalama haoInawezekanaje Latifa umekua na mkono wa Abdullatif?
Hivi kwa nini Iphone inapigwa vita sana Bongo? Kila siku watu wanajaribu kuja na kitu kinachoonyesha kuwa iphone ni simu jina tu lakini kuna simu za bei rahisi nzuri zaidi kwenye vipengele fulani. Hii ni inferiority complex mbaya sana waliyonayo watu wasio na uwezo wa kununua iphone.Wanatumia nguvu nyingi?
Sijawahi ona infinix anajilinganisha.
Watu wanashindwa kuelewa chaguzi za mtu? Mchele una mapishi mob..si lazima ule wali, kuna pilau na biriani na vitumbua
Hivi kwa nini Iphone inapigwa vita sana Bongo? Kila siku watu wanajaribu kuja na kitu kinachoonyesha kuwa iphone ni simu jina tu lakini kuna simu za bei rahisi nzuri zaidi kwenye vipengele fulani. Hii ni inferiority complex mbaya sana waliyonayo watu wasio na uwezo wa kununua iphone.
πππ watakufa na vijiba vya rohoHivi kwa nini Iphone inapigwa vita sana Bongo? Kila siku watu wanajaribu kuja na kitu kinachoonyesha kuwa iphone ni simu jina tu lakini kuna simu za bei rahisi nzuri zaidi kwenye vipengele fulani. Hii ni inferiority complex mbaya sana waliyonayo watu wasio na uwezo wa kununua iphone.
Hizo picha nina mashaka teleGoogle pixel ni balaa angalia hizo picha
Kono la kiume hilo mkuu
Bwana bikra abdulatif iyo ID inazungumzia bikra ipiπππ
AaaaahaaaBwana bikra abdulatif iyo ID inazungumzia bikra ipiπππ
Nme notice hii kitu pia nikajiuliza maswali mengi ππ au ka edit hadi extension ya images..Hizo picha nina mashaka tele
Hujaja kwa lengo la heading
Una yako binafsi
Na wababa wa humu hata hawavai sendo, wanavaa mibuti.
Picha za google uwa zinaandika PXL.. we zako zote zimeandika IMG kana kwamba umezipiga na Iphone.
Mabuti ya jeje umesahau kama mda wote la mgambo linalia unakiamshaHizo picha nina mashaka tele
Hujaja kwa lengo la heading
Una yako binafsi
Na wababa wa humu hata hawavai sendo, wanavaa mibuti.
Picha za google uwa zinaandika PXL.. we zako zote zimeandika IMG kana kwamba umezipiga na Iphone.
Upo sahihi.Hizo picha nina mashaka tele
Hujaja kwa lengo la heading
Una yako binafsi
Na wababa wa humu hata hawavai sendo, wanavaa mibuti.
Picha za google uwa zinaandika PXL.. we zako zote zimeandika IMG kana kwamba umezipiga na Iphone.
Yan kapiga picha na IMG, afu anadanganya ni PXL
hichi kiatu shingapi nakipatajeView attachment 2792497
GOOGLE PIXEL 3[emoji1426][emoji1426]
IPHONE 14 pRO MAX[emoji1370][emoji1370]
View attachment 2792500