Picha. Nimeanza leo kufuga kwa mara ya kwanza ushauri plz.

kajansi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
485
Reaction score
222
Habari wanajamvi!
kupitia jukwaa hili nimeamua kuanza kufuga kuku wa mayai na kwa kuanzia nimeanza na vifaranga 250 naomba nipeni ushauri jinsi nilivyoanza kuwalisha hao vifaranga kama picha inavyoonkana. Asanteni.

UPDATES.
Nawashukuru sana kwa wale wote walionipa ushaurii na kunitia moyo! sasa ni mwezi wa pili na maendeleo ni mazuri sana kwani kati ya vifaranga 250 vimekufa 4! so far! kwa kuwa nimetambua mambo mengi ambayo kwa ukweli bila kujaribu huwezi kuyajua nimeamua kuongeza idadi kamaya mwanzo ili nizidi kujikongoja!View attachment ki.doc

PICHAView attachment p1.doc
 
Attachments

  • DSC07610.JPG
    DSC07610.JPG
    611.7 KB · Views: 1,296
Hongera sana mkuu, na kikubwa ni kufuata kanuni zote za Ufugaji ikiwemo, Madawa, Usafi na Chakula, nazani ukiwatimizia hayo ni lazima usonge mbele,

Nawaona hapo kwenye Picha wako poa kabisa hawana noma, wapige misosi ya kufa mtu, na Hayo majiko jaribu kuongea na Mafundi wanao tengeneza wakutengenezee yenye Miguu mirefu,

Ok all the best
 
Hongera sana mkuu, na kikubwa ni kufuata kanuni zote za Ufugaji ikiwemo, Madawa, Usafi na Chakula, nazani ukiwatimizia hayo ni lazima usonge mbele,

Nawaona hapo kwenye Picha wako poa kabisa hawana noma, wapige misosi ya kufa mtu, na Hayo majiko jaribu kuongea na Mafundi wanao tengeneza wakutengenezee yenye Miguu mire

Ok all the best

Asante sana chasa! umenitia nguvu sana mungu akubariki! ushauri kuhusu jiko nauzingatia!
 
Usiogope!!!!!!!!!! kuwa makini sana na chakula unachowalisha kwani kuna uchakachuaji sana wa vyakula na itasababisha kuku watadumaa. ikibidi uwe unanunua mwenyewe. otherwise ni mradi mzuri unalipa!!!!
 
Pamoja mkuu awuyegani! ushauri wako ni wa muhimu sana! God bless.
 
Kweli hilo joto lake ni kabambwe,

sasa mkuu kwanini umetoa vile vifuniko vya juu kwenye vyombo vya chakula na maji naona inabidi ufunike ili wasikanyage kwenye maji na kwenye chakula mkuu.

pia chakula naona chombo kimoja tu au chakula kingine umemwaga chini mkuu,

yaani weka kila baada ya maji kifuate chombo cha chakula.

pia hayo maboxi ulotoa vikuku kama vipi yahamishe humo bandani.

Vinginevyo nakutakia kila la kheri na mafanikio mengi.

Mkuu songa mbele wala usijali majibu ya kukatisha tamaa kama utakutana nayo jamvini humu. Kama ni mara ya kwanza zingatia:
1. Tumia watu ambao tayari wamefuga wakupe mahitaji ya hao kuku kwa vyakula + madawa.
2. Au tafuta mtaalamu wa ufugaji wa kuku akupe ushauri juu ya no. 1 juu.
3. Hakikisha usiku wana mwanga maana wanatakiwa kula masaa 24 ili wakue haraka.
4. Sijaona vizuri banda lakini hakikisha wakikua wanakuwa na ventilation ya kufa mtu.
5. Zingatia kuwapa maji ya kutosha wakishakua.
6. Ulizia habari za chanjo kwa umri wao hao - muhimu sana.
7. Umefanya busara kuanza na wachache kuanza na wachache ili ujifunze.
8. Jipange kupanua mradi huo maana utapata faida kubwa zaidi ukifuga zaidi maana gharama ya kufuga kuku mmoja hupungua sana kadri unavyokuwa nao wengi zaidi.
Otherwise: finance is the language of business, risk is the grammar... Go ahead boss.
 
Mkuu nirihisi wangepata shida kunywa ila baada ya kimoja kuzama kwenye maji nimeviweka vifuniko na mambo ni shwari! box naziondoa mkuu! Asante sana.
 
Kweli nimeamini kama hiyo ID yako inatokana na watu wa mkoa flani yanayosemwa juu yao siyo ya kweli!Ubarikiwe na ushauri wako nimeuzingatia sana!
 
Taja huo mkoa ili tujue kuwa huyu si mmoja wao wenye hiyo tabia unayoiogopa.

Zaidi sana kula tano kwa kuanza uzalishaji.
 
kajansi usisahau kila unapoweka maji ni lazima vyombo vya maji vioshwe vizuri.

Nimetamani sana mradi wako, pia nakutakia kila la kheri, usimwamini mtu sana kazi kubwa kwenye banda fanya mwenyewe kwa mikono yako.

mimi nafuga lakini kutokana na eneo langu kubana imebidi niweke wa nyama tu, kwa sasa ninao 550.

Mkuu nirihisi wangepata shida kunywa ila baada ya kimoja kuzama kwenye maji nimeviweka vifuniko na mambo ni shwari! box naziondoa mkuu! Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
kajansi usisahau kila unapoweka maji ni lazima vyombo vya maji vioshwe vizuri.

Nimetamani sana mradi wako, pia nakutakia kila la kheri, usimwamini mtu sana kazi kubwa kwenye banda fanya mwenyewe kwa mikono yako.

mimi nafuga lakini kutokana na eneo langu kubana imebidi niweke wa nyama tu, kwa sasa ninao 550.

Asante sana ndugu kwa ushauri na maelekezo!
 
Habari wanajamvi!
kupitia jukwaa hili nimeamua kuanza kufuga kuku wa mayai na kwa kuanzia nimeanza na vifaranga 250 naomba nipeni ushauri jinsi nilivyoanza kuwalisha hao vifaranga kama picha inavyoonkana. Asanteni.

Mungu akubariki, alinde kazi za mikono yako, afungulie uelewa na utaalamu na mifugo yako ikaongezeke na kuwa baraka; nawe umtumaini yeye katika mambo yako yote. Na watu wote waseme AMEEENN
 
mungu akubariki, alinde kazi za mikono yako, afungulie uelewa na utaalamu na mifugo yako ikaongezeke na kuwa baraka; nawe umtumaini yeye katika mambo yako yote. Na watu wote waseme ameeenn

ameenn.
 
kajansi usisahau kila unapoweka maji ni lazima vyombo vya maji vioshwe vizuri.

Nimetamani sana mradi wako, pia nakutakia kila la kheri, usimwamini mtu sana kazi kubwa kwenye banda fanya mwenyewe kwa mikono yako.

mimi nafuga lakini kutokana na eneo langu kubana imebidi niweke wa nyama tu, kwa sasa ninao 550.

Hapo kwenye red ndo unapaswa kuwa makini. Binafsi ninafuga hawa wa mayai kwa muda kama miaka mitatu hivi, kinachonigharimu ni muda wa kuwasimamia mwenyewe, ninakuja fahamu kuna ugonjwa vijana wa kazi wanapoona amekufa mmoja, hii inatokana na kazi yangu kuni-keep busy. Ila ni mojawapo ya miradi inayolipa sana ukiwa karibu/ ukisimamia mwenyewe.
 
Mkuu Pitia kwenye ule uzi wa Kichwa Bovu kuna nondo za uhakika
 
Kweli nimeamini kama hiyo ID yako inatokana na watu wa mkoa flani yanayosemwa juu yao siyo ya kweli!Ubarikiwe na ushauri wako nimeuzingatia sana!
Usijali, ukabila hauna nafasi katika ulimwengu wa leo.
 
Nakushauri sana uzingatie usafi, otherwise utapata magonjwa mengi hasa typhoid.
 
Back
Top Bottom