Picha. Nimeanza leo kufuga kwa mara ya kwanza ushauri plz.

Picha. Nimeanza leo kufuga kwa mara ya kwanza ushauri plz.

Hao bado wadogo bana eneo ili wasipate baridi waki kua kidogo una panua tena ,
wataramu wana jua area husika kwa kila idadi ya kuku ,
hakikisha wasiwe wana kanyaga maji kwa hiyo usiondoe plastic uka acha mifuniko vifaranga wana kanyaga maji siyo salama kwa afya zao,
weka china maranda ya mbao.
Kila laheli
 
hongera sana kwa uamuzi wako
kila mwanzo ni mgumu ila utafika tu, pitia uzi unaitwa kwa wafugaji kuku wa kisasa, pia mtafute kichwa mbovu anatoa darasa ameeleza vizuri, kutokana na picha yako nakushauri
1. funika drinkers pia jaribu kupunguza weka ratio ya 1 drinker kwa kuku 50 nadhani kwa chakula pia, jaribu kuvipanga vizuri ili uweze kupita na kuku kuvifikia
2. wawekee maranda kwani kuku wanahitaji joto vilevile yanasaidia wasiwe na direct contact na vinyesi vyao, kuku hawataki ubichi kabisa jitahidi wawe ktk hali ya ukavu muda wote
3. ili kutunza joto na pia kupunguza gharama ya maranda nk, kwa vile wadogo unatakiwa uwaweke kwenye eneo dogo na hii itawezekana kwa kuwazungushia chochote hata hayo mabox waliyokuja nayo kwenye kona ili watunze joto na wakifikie chakula na maji kwa urahisi, nimejaribu kutafuta picha zangu za vifaranga sina nakuwekea hii toka mtandaoni. Kuna kitu wanaita brooder kukuwezesha kuwakusanya eneo dogo hadi wiki ya tatu wakiota mabawa na hawahitaji joto
4. taa za chemli kama umezipenda sawa tu lakini siku hizi kuna hizi tochi mchina kwa ajili ya mwanga unaitundika juu na unaweza kuwaongezea joto kwa gai la mkaa au dumu la maji ya moto maana wanavyozidi kukua wanarukaruka hizo taa chini....
Nakutakia kila la heri na kumbuka usafi vyombo kuoshwa na sabuni kila masaa 12, chanjo na madawa kwa wakati pia chakula sahihi kwa kila stage
 
Attachments

  • news - gk chicken project day old chicks.jpg
    news - gk chicken project day old chicks.jpg
    94.1 KB · Views: 220

Asante sana mama joe! mungu akubariki na ushauri wako wote nimeuzingatia!
 
...kadri wanavyokua unaongeza maji na kupunguza chakula, otherwise watanenepa na kutaga mayai kidogo. Hongera sana, ufugaji unahitaji umakini kila hatua.
 
Mbona umeweka jiko la mkaa mkuu? Hawataungua?

Hapana mkuu unaweka juu kidogo kwa kuwa bado ni vifaranga hawewezi kurukia! ila inabidi kuwa makini lisiwadondokee.

Hii ni mbadala wa umeme kutokana na mabili kuwa juu, kama unaweza kumudu umeme ni vizuri kuweka bulb za infrared zenye watts kuanzia 250 watapata joto la ukweli!
 
habari wanajamvi!
Kupitia jukwaa hili nimeamua kuanza kufuga kuku wa mayai na kwa kuanzia nimeanza na vifaranga 250 naomba nipeni ushauri jinsi nilivyoanza kuwalisha hao vifaranga kama picha inavyoonkana. Asanteni.

Updates.
Nawashukuru sana kwa wale wote walionipa ushaurii na kunitia moyo! Sasa ni mwezi wa pili na maendeleo ni mazuri sana kwani kati ya vifaranga 250 vimekufa 4! So far! Kwa kuwa nimetambua mambo mengi ambayo kwa ukweli bila kujaribu huwezi kuyajua nimeamua kuongeza idadi kamaya mwanzo ili nizidi kujikongoja!View attachment 87354

pichaView attachment 87425

jitahid vyombo vya chakula na maji viwe juu uvifunge kwa kutumia kamba.hii itasaidia kuwaepusha kuku wasile kinyesi chao kitu ambacho ni hatari sana...,.bip up kwa mradi mzuri.zingatia chanjo zote.......
 
Asante sana mkuu kwa ushauri ntafanya hivyo.
 
Kwanza honhera sana kwa kuanza ila naona umewatandazia magazeti, sijui sababu au ulikosa malanda ya mbao au magazeti ndo yanafaa vifaranga au ni sababu za kiusafi zaidi?

Naombeni kujuzwa
 
Big up sana ndugu yangu kwa kuanza kufuga. Mimi ninafuga kuku wa mayai pia, nilianza January mwaka jana, nilianza na kuku 600 na hatimaye kuongeza wengine 2,000. Wote wanataga vizuri sana. changamoto za hapa na pale hazikosi ila ikishaingia katika business hii huwezi kutika kirahisi, kwa sababu investment barriers kama cost za mabanda. Mimi sio mtaalam wa wanyama, ushari wa watalaam wanasema baada ya kupata uzoefu kwa idadi uloanza nayo, ukitaka kuendelea zaidi na ufugaji kuku wa mayai kibiashara wapaswa economic quantity ni kuku 3000 min.
 
Kweli hilo joto lake ni kabambwe,

sasa mkuu kwanini umetoa vile vifuniko vya juu kwenye vyombo vya chakula na maji naona inabidi ufunike ili wasikanyage kwenye maji na kwenye chakula mkuu.

pia chakula naona chombo kimoja tu au chakula kingine umemwaga chini mkuu,

yaani weka kila baada ya maji kifuate chombo cha chakula.

pia hayo maboxi ulotoa vikuku kama vipi yahamishe humo bandani.

Vinginevyo nakutakia kila la kheri na mafanikio mengi.

Kwa kuongezea hizo chemli akizining'iniza kwa kutumia kamba au waya maana mafuta ya taa siyo mazuri na moshi.
 
Kwanza honhera sana kwa kuanza ila naona umewatandazia magazeti, sijui sababu au ulikosa malanda ya mbao au magazeti ndo yanafaa vifaranga au ni sababu za kiusafi zaidi?

Naombeni kujuzwa

vifaranga bado wadogo mno wanaitaji chakula wamwagiwe chini ukiweka malanda unaharibu.
 
ubarikiwe sana na mi nakuja mkuu ntahitaji uzoefu wako
 
kajansi habari za leo
mradi wako wa kuku wa mayai unaendeleaje?
Habari wanajamvi!
kupitia jukwaa hili nimeamua kuanza kufuga kuku wa mayai na kwa kuanzia nimeanza na vifaranga 250 naomba nipeni ushauri jinsi nilivyoanza kuwalisha hao vifaranga kama picha inavyoonkana. Asanteni.

UPDATES.
Nawashukuru sana kwa wale wote walionipa ushaurii na kunitia moyo! sasa ni mwezi wa pili na maendeleo ni mazuri sana kwani kati ya vifaranga 250 vimekufa 4! so far! kwa kuwa nimetambua mambo mengi ambayo kwa ukweli bila kujaribu huwezi kuyajua nimeamua kuongeza idadi kamaya mwanzo ili nizidi kujikongoja!View attachment 87354

PICHAView attachment 87425
 
Last edited by a moderator:
kajansi habari za leo
mradi wako wa kuku wa mayai unaendeleaje?

Mamndenyi naendelea vizuri kama nilivyyoelezea hapo juu kwenye update yangu! nawashukuru sana kwa ushauri wenu kwani nyinyi mlinitia nguvu mno!

Naongeza idadi taratibu kulingana na nguvu ya mtaji! waweza fungua picha ukaona jinsi walivyo kwa sasa!

GOD BLESS!
 
Back
Top Bottom