Picha. Nimeanza leo kufuga kwa mara ya kwanza ushauri plz.

Picha. Nimeanza leo kufuga kwa mara ya kwanza ushauri plz.

ni kwamba hauwezekani, dah hongera sana
nimeutamani mradi wako hadi roho inauma
natamani nami siku moja nifikie hapa, hongera sana.



Mamndenyi naendelea vizuri kama nilivyyoelezea hapo juu kwenye update yangu! nawashukuru sana kwa ushauri wenu kwani nyinyi mlinitia nguvu mno!

Naongeza idadi taratibu kulingana na nguvu ya mtaji! waweza fungua picha ukaona jinsi walivyo kwa sasa!

GOD BLESS!
 
Back
Top Bottom