Hii nchi ina utani sana, hapa atakuja mbunge au hata huyu kilaza naibu waziri na kuwadanganya wananchi kuwa Mama anaupiga mwingi na katoa haya matrillioni kujenga hili drama la baiskeliWakuu,
Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki?
Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where tunashangilia vitu petty namna hii?
Yaani hili daraja ikija mvua ambayo iko serious ni linaenda na maji asubuhi sana.
Wakati Wachina wanajenga Ma-fly over na madaraja ya glass sisi Naibu Waziri anajitokeza kushangilia daraja kama hili?
========================================================
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amepongeza utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Manispaa ya Iringa kwa kukamilisha ujenzi wa daraja muhimu katika Kata ya Kitwiru.
Wananchi wamesema daraja hilo limekuwa mkombozi, likirahisisha usafiri hasa wakati wa mvua, ambapo awali watoto na watu wazima walishindwa kuvuka, wakikosa huduma muhimu na wanafunzi kushindwa kwenda shule.
Naibu Waziri amepongeza zaidi kwamba vifaa vya ujenzi, kama mchanga na kokoto, vimenunuliwa kutoka kwa wanufaika wa TASAF, waliovihifadhi kupitia vikundi vyao kama njia ya kujipatia kipato.
Source: EFM Tanzania
Hilo ni daraja???Wakuu,

Wakuu,

Tunaongozwa na watu wa hovyo snNchi inategemea uchawi na uchawa, hamna weledi
Haya ni majangili ya mali za ummaViingozi wa CCM wanadhalilisha taifa
Aibu kubwa snMbona kama kivuko Cha ngombe hicho
Acha kuokoteza takataka zako huko mtandaoniWakuu,
Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki?
Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where tunashangilia vitu petty namna hii?
Yaani hili daraja ikija mvua ambayo iko serious ni linaenda na maji asubuhi sana.
Wakati Wachina wanajenga Ma-fly over na madaraja ya glass sisi Naibu Waziri anajitokeza kushangilia daraja kama hili?
========================================================
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amepongeza utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Manispaa ya Iringa kwa kukamilisha ujenzi wa daraja muhimu katika Kata ya Kitwiru.
Wananchi wamesema daraja hilo limekuwa mkombozi, likirahisisha usafiri hasa wakati wa mvua, ambapo awali watoto na watu wazima walishindwa kuvuka, wakikosa huduma muhimu na wanafunzi kushindwa kwenda shule.
Naibu Waziri amepongeza zaidi kwamba vifaa vya ujenzi, kama mchanga na kokoto, vimenunuliwa kutoka kwa wanufaika wa TASAF, waliovihifadhi kupitia vikundi vyao kama njia ya kujipatia kipato.
Source: EFM Tanzania
Wana nini cha kukuibia we fukaraHaya ni majangili ya mali za umma
Muulize mumeo anajua nilichonachoWa
Wana nini cha kukuibia we fukara
Hata hawaenei kwenye hicho kidaraja.Wakuu,