matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wapi huko mzeeLive hapo mzee,kaja na V8 10 ya wakuu wa wilaya na mkuu wa mkoa na wakurugenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko mzeeLive hapo mzee,kaja na V8 10 ya wakuu wa wilaya na mkuu wa mkoa na wakurugenzi
Taarifa inasema Iringa,wengine wanasema SongweWapi huko mzee
Mv nini?Sio kidaraja ni kivukio.
Nchi inategemea uchawi na uchawa, hamna welediGharama za kuzindua ni kubwa kuliko gharama zilizotumika hapo, tuna nchi ya hovyo sn
DuuTaarifa inasema Iringa,wengine wanasema Songwe
TASAF ni nini kwani kama siyo serikali? Pesa za TASAF zinatoka wapi ndugu.Unastaajabu nini? Hilo daraja halijajengwa ns serikali ni TASAF wamejenga
.wananchi wamefurahi hivyo hivyo lilivyo
ni jambo la kawaida kwa wananchi binafsi kujitolea kujenga miundombinu kwenye maeo yao, huo ndio ungwana na upendo wa kweli 🐒CCM ni ileile ooo ni ileile
Dear nimekumisi ssna.Tatizo nini?
Wananchi wamepata stara.
Mv zegeMv nini?
Waziri anazindua mfereji?Sasa wananchi wameonesha juhudi zao za maendeleo wakaamua kumualika waziri mlitaka akatae?
Huyo ni mtumishi wa wananchi anapaswa kuwatumikia.kama ameitwa angekataa?si wangesema ana dharau?Waziri anazindua mfereji?
TASAF ni shirika lisilo la kiserikali sio!Unastaajabu nini? Hilo daraja halijajengwa ns serikali ni TASAF wamejenga
.wananchi wamefurahi hivyo hivyo lilivyo