warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Muigizaji mkongwe na maarufu nchini, Nuru nassoro, maarufu kama Norah, ivi karibuni amejikumbushia enzi zake alivyokuwa aking'ara kwenye magazeti na vyombo mbali mbali vya habar apa nchini. Muigizaji huyo mwenye mvuto wa aina yake, ali post picha yake kwenye ukurusa wake wa instagram (NorahTanzania ), ikimuonyesha staa huyo akiwa ameshika magazeti mbali mbali yaliyokuwa yamesheheni picha za mrembo huyo aliyetikisa kwenye filamu ya SIKITIKO LANGU.
Norah ni kati ya waigizaji maarufu zaidi (toka enzi za kaole) waliowahi kutikisa kwa skendo mbali mbali apa nchini, na kumfanya awe miongoni mwa mastaa ambao sura zao zilikuwa zikiuzika zaidi kwenye magazeti kama ilivyo kwa wema sepetu ivi sasa.