Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muigizaji mkongwe na maarufu nchini, Nuru nassoro, maarufu kama Norah, ivi karibuni amejikumbushia enzi zake alivyokuwa aking'ara kwenye magazeti na vyombo mbali mbali vya habar apa nchini. Muigizaji huyo mwenye mvuto wa aina yake, ali post picha yake kwenye ukurusa wake wa instagram (NorahTanzania ), ikimuonyesha staa huyo akiwa ameshika magazeti mbali mbali yaliyokuwa yamesheheni picha za mrembo huyo aliyetikisa kwenye filamu ya SIKITIKO LANGU.

Norah ni kati ya waigizaji maarufu zaidi (toka enzi za kaole) waliowahi kutikisa kwa skendo mbali mbali apa nchini, na kumfanya awe miongoni mwa mastaa ambao sura zao zilikuwa zikiuzika zaidi kwenye magazeti kama ilivyo kwa wema sepetu ivi sasa.
 
Attachments

  • 1433776904717.jpg
    1433776904717.jpg
    24.4 KB · Views: 4,163
  • 1433776940060.jpg
    1433776940060.jpg
    24.7 KB · Views: 4,099
  • 1433776977615.jpg
    1433776977615.jpg
    29.3 KB · Views: 3,850
Huyu alitesa sana kipindi chake na mganga wake Ng'wizukulu Jilala...R.I.P

Sasa ivi kabaki na magazeti yake mwenyew ,anatiaje huruma, aya maisha aya, enzi izo yeye na sintah ndo madada duu wa ukweli apa town, ila sema sintah na norah ni wazur mpaka kesho, hawana mpinzani
 
Aisee nilikuwa nampenda sana
 
Sasa ivi kabaki na magazeti yake mwenyew ,anatiaje huruma, aya maisha aya, enzi izo yeye na sintah ndo madada duu wa ukweli apa town, ila sema sintah na norah ni wazur mpaka kesho, hawana mpinzani

Hahahahahahaa, binamu wewe ni kiboko! Na kweli watilisha sana enzi hizo, sintah nae na Juma Nature wake...
 
Sasa ivi wamebaki na uzuri wao tu, washukur mungu enzi izo akina dallas na CK walikuwa bado hawajaja mjini, maana wangechakazwa na izo sura zao zingefubaa, ila bahat nzuri wamebak na uzuri wao
 
Ila binamu yule mganga wa Norah alikua njema sana sio wa kubeza.Ila walishindwana sababu ya ukicheche wa bibie...
Nilipewa story zake enzi hizo yuko na mganga wake nilichoka.
 
Muigizaji mkongwe na maarufu nchini, Nuru nassoro, maarufu kama Norah, ivi karibuni amejikumbushia enzi zake alivyokuwa aking'ara kwenye magazeti na vyombo mbali mbali vya habar apa nchini. Muigizaji huyo mwenye mvuto wa aina yake, ali post picha yake kwenye ukurusa wake wa instagram (NorahTanzania ), ikimuonyesha staa huyo akiwa ameshika magazeti mbali mbali yaliyokuwa yamesheheni picha za mrembo huyo aliyetikisa kwenye filamu ya SIKITIKO LANGU.

Norah ni kati ya waigizaji maarufu zaidi (toka enzi za kaole) waliowahi kutikisa kwa skendo mbali mbali apa nchini, na kumfanya awe miongoni mwa mastaa ambao sura zao zilikuwa zikiuzika zaidi kwenye magazeti kama ilivyo kwa wema sepetu ivi sasa.

If she can turn back the time...!!!
 
Ila binamu yule mganga wa Norah alikua njema sana sio wa kubeza.Ila walishindwana sababu ya ukicheche wa bibie...
Nilipewa story zake enzi hizo yuko na mganga wake nilichoka.

Alikuwa anamfikia Clement au marehemu secky kwa kuhonga? Akina nora enzi zao sisdhan kama walikuwa wanahongwa magar wale
 
Nina kapata mume anayejiweza katulia.Mume hataki kusikia mambo ya bongo movie wala maigizo.

Nilikutana nae anasukuma prado kawa mzuri hatar, bora aachane na bongo mavi maana enz zao ilikuwa hailip
 
Back
Top Bottom