Picha nyingi za utoto zimebeba Siri kubwa za Kiroho

coicedence tu hiyo Amna ukweli wowote

Hebu tuwaze hivi Kama mtoto alipiga picha katika matukio tofauti tofauti mafano picha ya Kwanza kashika biblia/Quran anakua Kama anasema wenzake wanamsikiliza



Picha ya pili iwe Kama hiyo uliyotuwekea



Picha ya tatu awe ameshika Yale Kama matunguli ya mganga anafanya manyanga



Sasa kwa picha na mtililiko wa matukio Kama huu nimekuonyesha ni katika mfumo gani wa maisha na kazi zake zitakua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu kuwa mkweli huyu ni diamond kweli au uongo,mbona picha hii yupo kawaida sasa lile domo limeota ukubwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nikiangalia pocha zangu za utotoni napata raha sn
 
Mbn kama unanichana Mimi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka hiyo hiyo redio ilikuwa ni utajiri mkubwa wenyewe wakiita kitofa
 
nmejifunza pia alitoka kwenye familia bora. kumiliki radio hizo miaka hyo mzee wako lazima awe anajiweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dingi yangu alikua nayo nakumbuka alikua anakaa wiki moja kila nyumba maana alikua na wake wawili basi akimaliza wiki anaibeba kwenda mtaa Wa pili kwa ma mdogo basi tunabaki na uzuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msuva alipenda Mziki tangu utotoni. Akaenda THT. Leo yupo kwa waarabu anasakata soka!

Bob alicheza soka utotoni. Ukubwani akawa mvuta bangi muimba Reggae.

Mwana Fa shuleni alikuwa PCM na pia mwana basketball.

Masoud Kipanya alikuwa mchezaji tangu utotoni.

Mimi nlikuwa mchunga utotoni na kwa sasa Raisi
 
Kwa sasa raisi unachunga watu

Cc_Zero IQ
 
Nilipiga kwenye land lover TDI hadi leo sijamiliki hata baskeli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…