Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
πππππUkirudi Home Unajilaumu Sana
Connection Mjini Ndiyo Wale Wachezaji Wanasema Kiungo Mchezeshajiπππππ
Au labda wameenda kutafta koneksheni
ndio maana kuna watu wakiambiwa jiwe lina backups ya kutosha ya wananchi hawaelewi,eti limebana limebana nini masikini wanaendelea na ratiba zao za kila siku.Ukienda sehemu za bata hadi viwanja vya kawaida kabisa, utakuta watu wanaponda mali mpaka unajiuliza hivi kweli JIWE KUU LA PEMBENI kabana au story za mitandaoni tu.
Kaka hiyo ni gcam au kamera kutoka simu ipi picha kali sanaJana nimeenda na laki 1.5 , dakika chache katu haipo .
Pesa ipoView attachment 1164167View attachment 1164168View attachment 1164169View attachment 1164171View attachment 1164173View attachment 1164174View attachment 1164175View attachment 1164176View attachment 1164178
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hahah kuna ka ukweli flani hivi.Ah wapi, ukirudi nyumbani taabu iko pale pale. Hapo ni kujisahaulisha kwa muda tu.
ππππHahah kuna ka ukweli flani hivi.
Kabisa mkuu..Jf tu ndo mnatishanΓ a ila mtaani hali iko shwari kabisa
DJ mbowe saccos ya chadomo imejibu.namuona na mwenyekiti hapo wakati wafuasi wake wakilia lia humu mitandaoni yeye anarefresh mind maeneo.
Niliiuwepo
Ohooooo!!!namuona na mwenyekiti hapo wakati wafuasi wake wakilia lia humu mitandaoni yeye anarefresh mind maeneo.