PICHA : NyomaChomaFestival - Dsm kuna watu wanakula bata sana. Nchi hii kuna pesa na totozi balaa

PICHA : NyomaChomaFestival - Dsm kuna watu wanakula bata sana. Nchi hii kuna pesa na totozi balaa

Ukienda sehemu za bata hadi viwanja vya kawaida kabisa, utakuta watu wanaponda mali mpaka unajiuliza hivi kweli JIWE KUU LA PEMBENI kabana au story za mitandaoni tu.
ndio maana kuna watu wakiambiwa jiwe lina backups ya kutosha ya wananchi hawaelewi,eti limebana limebana nini masikini wanaendelea na ratiba zao za kila siku.
 
hapo umekula 200,000 katika 1.5, 1.3 wamekula malaya,wanaume wa dada mna nini vichwani?
 
ulishaambiwa laki sio pesa na milioni ni lawama..

jiongezeee jiji hili halihitaji mbwembwe ukileta mbwembwe hata kiwanja hununui
 
Yaani hao totoz ni akina Mbowe? Njoo huku Chigali uone totoz wa ukwee.
 
Back
Top Bottom