Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kuhoji kitu ambacho keshakisema kwenye hii picha yake ya Insta. "MIMI NI MSWAHILI NA USWAHILI WANGU UNANISAIDIA" Kifupi ni kuwa ANAISHI MAISHA YAKE KAMA WENGINE WANAVYOISHI MAISHA YAO
 
Ndiyo anaanza maisha ya uintaneshino jamani tumuwacheee. Ila jamaa ana mdomo mchafu kha!!'
 
Afu mtoto wa kiume kuchukia mafanikio ya mwanaume mwenzako huo ni..........
Jutaidi utafute vyako sio kazi kumkandia 2 kawaonesha kwamba Yale ndo matunda yake
Haha punguza mhemko..mimi mtoto wa kiume nakubali mafanikio.yake tena sana ila sitakubali ujinga ujinga wa kudhalilisha wanaume mitandaoni nimekaa na mjeda hapa amechukia sana, mipasho na kutumia maneno.yenye walakini kama mwanaume mana yake ni nini??! Kama watu walikua hawaamini amenunua nyumba alikua hana haja ya kutumia nguvu nyingi sana hadi mipasho na show offs.. always mafanikio kama unayo unayo tu..!!
 
nakubali juhudi zake, ila kuna kaujinga kafanya hapo katika kauli, sihitaji kujibiwa ukinijibu tu basi we MUME wangu hahahaha.
Ujinga gani alioufanya mkuu ......??
 
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kuhoji kitu ambacho keshakisema kwenye hii picha yake ya Insta. "MIMI NI MSWAHILI NA USWAHILI WANGU UNANISAIDIA" Kifupi ni kuwa ANAISHI MAISHA YAKE KAMA WENGINE WANAVYOISHI MAISHA YAO
Ahahaaaaaah...
Ahsante kwa VIDEO fupi kaka samsun...
Haka kavideo nilikua sijabahatika kukatazama...
Kwa video hii,HATERS ni haki yao kutoa MAPOVU...
Jinsi anavyofungua hilo geti kwa mbwembwe...
Ni hatari..!
Wasije kumdhuru tu kijana wa watu..!!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwambie mjeda nae apost ila ndo anawaonesha kwamba kanzu haifanani na dela
Wabongo hamuishiwi maneno
Mimba ya zari itatoka
Tiffa sio wA diamond
Nyumba sio yake
Ile nyumba kapanga
Ndo mda wa kuwanyoosha
 
Mbona wasanii wengi huwa wanaonesha maisha yao na mali zao??? Akina 50cent, Akon, na matajiri wengine, hata mm nibahatike kununua NYUMBA ya hivyo naitangaza
 
Ahahaaaaaah...
Ahsante kwa VIDEO fupi kaka samsun...
Haka kavideo nilikua sijabahatika kukatazama...
Kwa video hii,HATERS ni haki yao kutoa MAPOVU...
Jinsi anavyofungua hilo geti kwa mbwembwe...
Ni hatari..!
Wasije kumdhuru tu kijana wa watu..!!!
Wapuuzi hawa madogo,HAKUNA MSANII HASIYEJITANGAZA MALI ZAKE,TOFAUTI IPO KWENYE NAMNA YA KUJITANGAZA.

OLAMIDE HUYO ANAONYESHA NYUMBA YAKE NA GARI.
 
Ujinga gani alioufanya mkuu ......??
“Asa k*nya nak*nya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu..,”

“Soon naamia ndani…halaf nlisahau, wakikwambia mie mswahili wambie Mswahili haswaaa[emoji108][emoji108]… halaf uswahili wangu najua kuutumia na umefanya leo niwe na kibanda south asa wao Uzungu wao Umewapa nini?"

""mnh ujirani huu hata siku Ukiwa na shida ya chumvi sjui unaingiaje kujichekesha upewe!…. [HASHTAG]#MyNewCribInSouthAfrica[/HASHTAG]""

Words of diamond...international artist ...kama mwanaume i will never support this kind of behaviour from my fellow man hata kama napenda mafanikio yako..

Na pia nimegundua kitu anasema kua eti ni rasharasha...sasa nimeona ya kua anafanya kuwaonyeshea maybe team pinzani kwa kauli yake ya juzi na wale waliopinga kua amenumua nyumba south africa.....kwaio mafanikio.yake yeye kwa sasa ni show off kwa upande wa pili na anafanya kila jitihada kujionesha, ndugu yang diamond kama kauli ya alikiba ndo imemfanya awe hivi nampa pole
 
Acha povu haitakusaidia kitu,HAYO NI MAISHA YAKE NA HAJAANZA LEO KUWA HIVO,TOKEA ANAANZA KUNUNUA GARI YAKE YA KWANZA ILE OPA DUNIA NZIMA ILIJUA NA HAKUACHA KUIONYESHA NA WATU WALIKUWA WANAPONDA MSANII UNAKUWA NA OPA ..... IWE SASA NDIO ATAKUELEWA......MIMI NAPENDA MUZIKI WAKE, NA HIZO SHOW OFF ZAKE NDIO HUWA NAFURAAAAAAHI NIKIKUTA WATU WANAVYOTOKA POVU,NA YEYE NDIO ANAPENDA MNAVYOJAA KWENYE PAGE ZAO KWA MAANA NDIO ZINAMUONGEZEA MADILI.
 
Hahaha dunia nzima ilijua?? anyway Wala sina povu! Ni kweli ni maisha yake aendelee hivo hivo na hio mipasho ...
 
Hahaha dunia nzima ilijua?? anyway Wala sina povu! Ni kweli ni maisha yake aendelee hivo hivo na hio mipasho ...
Inabidi mjiongeze na kujiuliza kwanini aachi,hizo mnazoziita show off .......??
 
Am me!! And who are you! ndo ukweli uliopo mmezidi uswahili,,mwanaume unaonesha alama hii kwenye comments zako [emoji108] ndio nini!!; halaf msaanii mkubwa unajiita, embu fanyeni kazi mlete tuzo nyumbani..
Na wewe mbona umeonesha? Au jinsia yako nawe ni ya kutia shaka?! By the way, na wewe kama sio uboya kuwa nini... mwanaume una-discuss maisha ya mwanaume mwenzako?!
 
Show off ni Uswahili??? Basi P Diddy ni mswahili no moja
 
haya bana ''the only rolls royce artist in east Africa'' katoa kauli za kikomavu.
 
Sasa kwan lazima dai aishi kama wizkid,? Ali kasema hata ngekua yy singeonyesha ila dai kaonyesha na kwan n lzm na ww kumfatilia kama kaonyesha au la? Ni maisha binafsi ya mtu ni mswahil mnamuacha tu sio lzm upende everything from every person ndivyo alivo mumuche na showoff zake na showon zake!! [emoji38]
 
Wakina Lil Wayne, 50 Cent, Pdiddy wakionyesha majumba yao,magari na cheni wanazovaa shingoni mnawasifia. Msanii wetu akionesha 'tuvibanda' twake alitotupata kwa mbinde baada ya kuhustle sana mnatokwa mapovu, nini kinakuuma lakini we H BABA ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…