ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Ndio bei gani iyo kwa bongoAsikudanganye mtu south africa nyumba ni rahisi zaidi ya Tanzania, na hii kutokana na utofauti wa maisha, mfano mzuri sidhan kama ukiwa na M200 unaweza pata nyumba nzuri mbezi beach pale, wala tusiende maeneo kama masaki nk, lakini ukiwa na (Z)1200000 una nyumba ya ukweli durban