Ndio bei gani iyo kwa bongoAsikudanganye mtu south africa nyumba ni rahisi zaidi ya Tanzania, na hii kutokana na utofauti wa maisha, mfano mzuri sidhan kama ukiwa na M200 unaweza pata nyumba nzuri mbezi beach pale, wala tusiende maeneo kama masaki nk, lakini ukiwa na (Z)1200000 una nyumba ya ukweli durban
Umemsahau kikiakeeWapi mobeto,bi Sandra na esma,[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mtapiga majungu miaka mia wenzenu wanazid kupendana tu..Mond kanikomeshea watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Amesema mjanja sio msomiIvi zari ni msomi???
Umeona tofauti ya ulinganishi wako?! Upande mmoja umetaja Mbezi Beach lakini upande mwingine umetaja Durban! Anyway, tunaweza kusema na kv ndo ukweli wenyewe kwamba Johannesburg is too tough compared to Dar es salaam ingawaje hiyo nyumba kuna uwezekano mkubwa ipo Johannesburg. Lakini badala ya kutaja Durban, ulitakiwa kutaja eneo ndani ya Durban lenye hadhi inayofanana na Mbezi Beach!!Asikudanganye mtu south africa nyumba ni rahisi zaidi ya Tanzania, na hii kutokana na utofauti wa maisha, mfano mzuri sidhan kama ukiwa na M200 unaweza pata nyumba nzuri mbezi beach pale, wala tusiende maeneo kama masaki nk, lakini ukiwa na (Z)1200000 una nyumba ya ukweli durban
Sio wote tumeajiliwa wengine tumejiajili katafte ww za kukusaidia na familia yako ushawai ona kuna mtu umu alishawai kukulilia shida acha tujadili ungepita tu kwenda siasaniVijana amkeni sasa mkatafute pesa.....najua ajira zimegoma kutoka, lakini kushinda maghetoni kumjadili mtu maisha yake sio sahihi kwa kasi ya maisha ya sasa...
Mkaa bure sio sawa na mtembea bure...huenda akaokota.
Kuna mmoja humu kasema yeye ni mtu wa muhimu mitandaoni. ..... kueneza propaganda
Oh my luggage
Ujanja + usomi kama anao lakin = mafanikio bila jashoAmesema mjanja sio msomi
Usijipe stress na maisha ya watu mjini akili manguvu peleka shambaaf naona kama haya yanayotokea wanakubaliana chumban ndomo na mkewe then yanakuja intagram na snapchat....
mnapozid kuongea ndio na ka salome nako kanapozid kupata umaarufu...
Umewaasa vizuri lakini sheria ya asili inasema every successful man there is woman behind, kinacho waharibu hapa wanafanya kwamba 'every successful man there is (demu-aka changu) behind'. Hebu angalia mwingine mwenye 'woman' kama profesa J, si naye kafanikiwa!?Mi huwa napenda kila msanii afanikiwe , ilitakiwa wasanii wengi wa bongo wawe wana nyumba zao, domo ni kujituma kwake tuu kunamfanya apate hivo vitu.
Inatakiwa pia wasanii wengine wajifunze pamoja na sheria zetu za sanaa kuwa mbovu, mtu uki hustle inalipa, sasa mtu ana pata hela anaishia kula ngada tuu, na madem yaani hapo unakuta ka hit wimbo mmoja tuu.
Asikudanganye mtu south africa nyumba ni rahisi zaidi ya Tanzania, na hii kutokana na utofauti wa maisha, mfano mzuri sidhan kama ukiwa na M200 unaweza pata nyumba nzuri mbezi beach pale, wala tusiende maeneo kama masaki nk, lakini ukiwa na (Z)1200000 una nyumba ya ukweli durban
NaamPeter πππππ
Hili swali limedraw conclusion ya huu uzushi!Kama kanunua hiyo ilikuwaje asijenge Madale kama hiyo?
acha kujipendekeza weweeJaman zari nikumbuke warumi na Mimi angalau nije kuuza sura south africa kwenye nyumba yetu mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hii n tabia ya wanaume wote duniani waliokulia kwenye mfumo wa kawaida wa kulelewa na mama na baba au na mama tu kama mond! iko hivi mtoto wa kiume akiwa mdogo kabsa ikatokea anaishi na bibi ake na mama ake kwa pamoja basi utaona anampenda zaidi mama kuliko bibi! Baadae uyu mtoto atakua kijana mkubwa basi apo upendo unaanza kuhama kutoka kwa mama ake kwenda kwa mabinti(apa yuko radhi achukue pesa kwa mama apeleke kwa binti au mchumba au mke) baadae uyu kijana ataoa na endapo atabahatika kupata mtoto wa kike basi taratibu upendo unaanza kushift kutoka kwa mkewe kwenda kwa mtoto wake huyo wa kike! Inaendelea ivo ivo mpaka mwisho! Kwa iyo tabia ya wanaume n kupenda but upendo una shift kwa style iyo!periodHivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
[emoji1] [emoji1] hongera sana dada kwa kujiajiri.... naona comment yangu haijakupendeza maana umejibu kwa hasira kidogoSio wote tumeajiliwa wengine tumejiajili katafte ww za kukusaidia na familia yako ushawai ona kuna mtu umu alishawai kukulilia shida acha tujadili ungepita tu kwenda siasani