Picha: ODAMA ndani ya DUBAI

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muigizaji asiye na makuu nchini, jennifer kyaka aka ODAMA, hivi karibuni amekua na ziara kwenye nchi mbali mbali ,ambapo alianzia nchini china ambako alienda kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa pamoja na kula bata za kufa mtu nchini humo, hivi karibuni pia ameonekana akiwa dubai (dxb) akila bata, hata hivyo haijajulikana kama staa huyo amekua boss lady au kuna sponsor nyuma ya pazia ambaye anamfanyia kufuru za kufa mtu na kumpa jeuri mjini. Msanii huyo ambaye pia ni mmliki wa kampuni ya filamu na mama wa mtoto mmoja amekua msiri sana na maisha yake, hivyo kuwapa ugumu wapenda ubuyu kujua maisha yake kiundani.

Haya bi Dada ji enjoy ila warumi nawashwaa kumjua sponsor maana sio kwa bata hzo, maana wasanii wenzio wamesota hata south Africa hawajawahi kufika ila wewe naona unabadilisha flight kama daladala, uwiiiii jamani umbea huu, Dada wa watu mpole mwenyewe warumi namchokonoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hicho ni kikwapa au macho yangu tu?

Hebu cheki huo mkono ulioshika kiuno...naona kama kuna kijasho cha kikwapa vile😀.

Armpit pads zinamhusu...

 
Hanaga makuu na mtu mwenyewe, mpole kweli na haringi, sijui kwa nn baba ubaya akuzalisha huyu jamani Mali ibaki nyumbani
Naalivyo mpole baba ubaya si angemfiligisa kila mahali
 
Huyu dada yuko poa sana.alimpenda msanii wake (jina kapuni) kabla hajazaa alikuwa anamnunulia zawadi mama mkwe balaa.ila yule kaka hata habari alikuwa hana.hakumpenda kabisa.mwisho Wa siku ilibidi aachie ngazi bila kupenda
Interesting
 
huyu alikua anatoka jb mahaba enzi hizo!!inasemekana
halafu eti yule wa River side ubungo ndo sijui aliyezaa nae

km sijakosea inasemekana lakiniii!!!
Huyo wa river side ninaye mhisi ndie? Au nakosea ? [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…