Picha: ODAMA ndani ya DUBAI

Picha: ODAMA ndani ya DUBAI

Hicho ni kikwapa au macho yangu tu?

Hebu cheki huo mkono ulioshika kiuno...naona kama kuna kijasho cha kikwapa vile😀.

Armpit pads zinamhusu...

images
images
ni mikono yote miwili…ni wachafu sana wasanii wa Bongo
 
Muigizaji asiye na makuu nchini, jennifer kyaka aka ODAMA, hivi karibuni amekua na ziara kwenye nchi mbali mbali ,ambapo alianzia nchini china ambako alienda kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa pamoja na kula bata za kufa mtu nchini humo, hivi karibuni pia ameonekana akiwa dubai (dxb) akila bata, hata hivyo haijajulikana kama staa huyo amekua boss lady au kuna sponsor nyuma ya pazia ambaye anamfanyia kufuru za kufa mtu na kumpa jeuri mjini. Msanii huyo ambaye pia ni mmliki wa kampuni ya filamu na mama wa mtoto mmoja amekua msiri sana na maisha yake, hivyo kuwapa ugumu wapenda ubuyu kujua maisha yake kiundani.

Haya bi Dada ji enjoy ila warumi nawashwaa kumjua sponsor maana sio kwa bata hzo, maana wasanii wenzio wamesota hata south Africa hawajawahi kufika ila wewe naona unabadilisha flight kama daladalaView attachment 405813, uwiiiii jamani umbea huu, Dada wa watu mpole mwenyewe warumi namchokonoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OK THANKS KWA UBUYU..KAKA WARUMI NAKUHESHIMU KWA UBUYU, UMETISHA KAKA
 
Aisee nikajua Mimi tu ndio ninavimiguu vyembamba kumbe hata huyu? ......turudi kwenye mada lkn bidada huyu hana skendo wacha ale bata tu
ANA MKUU MKALI CHUPA YA BIA.. ANGALIA ILE MOVIE YA HOUSE MAID NI BALAA.. HIYO PICHA HAIKO POA
 
Huyu dada yuko poa sana.alimpenda msanii wake (jina kapuni) kabla hajazaa alikuwa anamnunulia zawadi mama mkwe balaa.ila yule kaka hata habari alikuwa hana.hakumpenda kabisa.mwisho Wa siku ilibidi aachie ngazi bila kupenda
Duh! Bahati hairudi mara mbili..
 
Kwahyo unataka kuniambia kua hapo wamemfanyia fitna?[emoji13] [emoji13]
year siunajua tena hizi camera zetu.. directions, and na mambo ya kufinyanga ... nitumie picha za miguu yako malya nikushauri njoo P.M malya tuyajenge..
 
year siunajua tena hizi camera zetu.. directions, and na mambo ya kufinyanga ... nitumie picha za miguu yako malya nikushauri njoo P.M malya tuyajenge..
Pm mbali ......angalia avatar yangu alafu nishauri basi
 
Kumbe China na Dubai ni sehem moja???mana mtoa mada anasema yupo Dubai lakn location ya picha inaonyesha yupo china
 
Back
Top Bottom