wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
refa njoo nae wewe usije sema nimemnunua[emoji13] [emoji13] [emoji13] hakikisha umetafuta refa wakukubeba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
refa njoo nae wewe usije sema nimemnunua[emoji13] [emoji13] [emoji13] hakikisha umetafuta refa wakukubeba
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]refa njoo nae wewe usije sema nimemnunua
yawezekana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyo wa river side ninaye mhisi ndie? Au nakosea ? [emoji124] [emoji124] [emoji124]
ni mikono yote miwili…ni wachafu sana wasanii wa BongoHicho ni kikwapa au macho yangu tu?
Hebu cheki huo mkono ulioshika kiuno...naona kama kuna kijasho cha kikwapa vile😀.
Armpit pads zinamhusu...
![]()
![]()
OK THANKS KWA UBUYU..KAKA WARUMI NAKUHESHIMU KWA UBUYU, UMETISHA KAKAMuigizaji asiye na makuu nchini, jennifer kyaka aka ODAMA, hivi karibuni amekua na ziara kwenye nchi mbali mbali ,ambapo alianzia nchini china ambako alienda kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa pamoja na kula bata za kufa mtu nchini humo, hivi karibuni pia ameonekana akiwa dubai (dxb) akila bata, hata hivyo haijajulikana kama staa huyo amekua boss lady au kuna sponsor nyuma ya pazia ambaye anamfanyia kufuru za kufa mtu na kumpa jeuri mjini. Msanii huyo ambaye pia ni mmliki wa kampuni ya filamu na mama wa mtoto mmoja amekua msiri sana na maisha yake, hivyo kuwapa ugumu wapenda ubuyu kujua maisha yake kiundani.
Haya bi Dada ji enjoy ila warumi nawashwaa kumjua sponsor maana sio kwa bata hzo, maana wasanii wenzio wamesota hata south Africa hawajawahi kufika ila wewe naona unabadilisha flight kama daladalaView attachment 405813, uwiiiii jamani umbea huu, Dada wa watu mpole mwenyewe warumi namchokonoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ANA MKUU MKALI CHUPA YA BIA.. ANGALIA ILE MOVIE YA HOUSE MAID NI BALAA.. HIYO PICHA HAIKO POAAisee nikajua Mimi tu ndio ninavimiguu vyembamba kumbe hata huyu? ......turudi kwenye mada lkn bidada huyu hana skendo wacha ale bata tu
Duh! Bahati hairudi mara mbili..Huyu dada yuko poa sana.alimpenda msanii wake (jina kapuni) kabla hajazaa alikuwa anamnunulia zawadi mama mkwe balaa.ila yule kaka hata habari alikuwa hana.hakumpenda kabisa.mwisho Wa siku ilibidi aachie ngazi bila kupenda
Kwahyo unataka kuniambia kua hapo wamemfanyia fitna?[emoji13] [emoji13]ANA MKUU MKALI CHUPA YA BIA.. ANGALIA ILE MOVIE YA HOUSE MAID NI BALAA.. HIYO PICHA HAIKO POA
year siunajua tena hizi camera zetu.. directions, and na mambo ya kufinyanga ... nitumie picha za miguu yako malya nikushauri njoo P.M malya tuyajenge..Kwahyo unataka kuniambia kua hapo wamemfanyia fitna?[emoji13] [emoji13]
Pm mbali ......angalia avatar yangu alafu nishauri basiyear siunajua tena hizi camera zetu.. directions, and na mambo ya kufinyanga ... nitumie picha za miguu yako malya nikushauri njoo P.M malya tuyajenge..
p.m kuna mengi wewe njoo.. hiyo avatar inaonekana kwa mbali saaana.. inabidi u-extend zaidi kwa kwenda juuPm mbali ......angalia avatar yangu alafu nishauri basi
Wa river side n nanhuyu alikua anatoka jb mahaba enzi hizo!!inasemekana
halafu eti yule wa River side ubungo ndo sijui aliyezaa nae
km sijakosea inasemekana lakiniii!!!
Haha kwahyo una maanisha kuwa jk ndio.............tena au??[emoji23]Mtoto wake amefanana na jk!
wen ndio unajua leo? Si tunajua toka alipokuwa magogoni.....Haha kwahyo una maanisha kuwa jk ndio.............tena au??[emoji23]
Yupo China mleta thread kachapia!!Mleta uzi jaribu kujitambua kidogo...
Wee mtu yupo Dubai airport unatuambia yupo Dubai anakula bata..
Na the way she looks to be on transit..
Shame!!