Picha: ODAMA ndani ya DUBAI

Hicho ni kikwapa au macho yangu tu?

Hebu cheki huo mkono ulioshika kiuno...naona kama kuna kijasho cha kikwapa vile😀.

Armpit pads zinamhusu...

Wewe Mzee acha kuchungulia vilivyo kupita. Hujui hicho kijasho ni sehemu ya antena ya kijogoo au umesahau?
 
Hanaga makuu na mtu mwenyewe, mpole kweli na haringi, sijui kwa nn baba ubaya akuzalisha huyu jamani Mali ibaki nyumbani

Kwanini usimzalishe wewe..si unajifanya mwanaume wewe ??..au hudindi yaani hannithi??..nyinyi mademu wa bongo movie akili zenu matope matupu
 
Kwanini usimzalishe wewe..si unajifanya mwanaume wewe ??..au hudindi yaani hannithi??..nyinyi mademu wa bongo movie akili zenu matope matupu
Binamu umekunywa gongo? Mara miie hanithi Mara mie mwanamke, nashindwa kuelewa nichukue lipi?
 
Huyu dada nampenda sana ila nasitikika sitampata hadi naingia uzeeni
 
Kumbe China na Dubai ni sehem moja???mana mtoa mada anasema yupo Dubai lakn location ya picha inaonyesha yupo china
Yupo Dubai, Mpiga picha ndio yupo China....atakuwa ametumia malensi yao yale makubwa.
 
Mleta uzi jaribu kujitambua kidogo...
Wee mtu yupo Dubai airport unatuambia yupo Dubai anakula bata..
Na the way she looks to be on transit..
Shame!!

Teh teh teh.., mimi mwenyewe nilikuwa najaribu kuangalia kama kuna picha nyingine za bata. Anyways tunatofautiana., wengine kuwa airport tu kwao ni luxury already.
 
Yupo Dubai, Mpiga picha ndio yupo China....atakuwa ametumia malensi yao yale makubwa.
She was in Dubai before kwa siku kadhaa ndipo akaenda China, acha kutokwa na mapovu kama unatak kukata roho au unakifafa? Hyo pichaa nimecjukua tu wakat. Anaingia china
 
Teh teh teh.., mimi mwenyewe nilikuwa najaribu kuangalia kama kuna picha nyingine za bata. Anyways tunatofautiana., wengine kuwa airport tu kwao ni luxury already.
Hamchelewi kusema Photoshop, mtajibeba wenzemu wanabadilisha flights nyie mnaangaika na mwendo kasiu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…