Picha: Ommy Dimpoz na maboss zake

Ni kikao cha kibiashara juzi walikua hotel verde, ilikua ziara ya joho alikutana pia na Rais Mwinyi ndio wakaongea na wafanyabiashara.
Afadhali umewaambia ukweli,Watanzania tumekalia kuwaza ujinga tu na ubaguzi,watu wana mambo yao sisi tunauliza maswali kwa mtizamo wa kijinga,kazi ya waswahili ni kuombeana mabaya na kuwaza ujinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke wewe.. Joho hanaga mchezo na mali zake.
Yeah...Betty ni moja ya Mwanadada ambaye ana ni- Inspire sana.
Betty anakuinspire vipi?

Kibiashara?

Unataka kuwa prime time news anchor?
 
Simkandii Bro..
Naandika ninachokijua.. Ommy ni moja ya Msanii anayefanya vizuri. Ila..... Ila.....

Hiyo Issue ya Range mbona inajulikana.
Wee, ni bwabwa wa joho?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hatari sana.. Akifika kwenye ile Mansion ya Joho yeye ndiyo Final say....[emoji23]
Wewe upo kitengo gani kwenye iyo mansion mpaka kuyajua yote haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…