Picha: Ommy Dimpoz na maboss zake

Picha: Ommy Dimpoz na maboss zake

Attachments

  • Screenshot_20210315-012250.png
    Screenshot_20210315-012250.png
    238.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20210315-012335.png
    Screenshot_20210315-012335.png
    49.5 KB · Views: 14
Ni kikao cha kibiashara juzi walikua hotel verde, ilikua ziara ya joho alikutana pia na Rais Mwinyi ndio wakaongea na wafanyabiashara.
Afadhali umewaambia ukweli,Watanzania tumekalia kuwaza ujinga tu na ubaguzi,watu wana mambo yao sisi tunauliza maswali kwa mtizamo wa kijinga,kazi ya waswahili ni kuombeana mabaya na kuwaza ujinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke wewe.. Joho hanaga mchezo na mali zake.
Yeah...Betty ni moja ya Mwanadada ambaye ana ni- Inspire sana.
Betty anakuinspire vipi?

Kibiashara?

Unataka kuwa prime time news anchor?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hatari sana.. Akifika kwenye ile Mansion ya Joho yeye ndiyo Final say....[emoji23]
Wewe upo kitengo gani kwenye iyo mansion mpaka kuyajua yote haya...
 
Back
Top Bottom