Picha: Pale unapodaiwa na jirani yako halafu hulipi deni

Picha: Pale unapodaiwa na jirani yako halafu hulipi deni

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,233
Reaction score
51,648
Nimeiona hii huko kwingine, kuna funzo hapa, haya yanatokea sana, miaka miwili iliyopita kuna jirani yangu mstaafu alimkopesha bwana mmoja aliyekuwa anamsaidia kazi za shambani, akatatulie matatizo ya kifamilia kijijini kwao, ila hivi karibuni kuna nakala ya mstaafu huyo imeonekana kwenye kaya ya mtumishi wake

1744707752057.png
 
Back
Top Bottom