Picha: Papa Francis akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa Papa Benedict XVI

Picha: Papa Francis akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa Papa Benedict XVI

Mpinga Kristo

20230105_222126.jpg
 
Haingii akilini kwa wao kutengeneza quran
Tatizo dini zinavitisho sana , you never know the truth!!!
Walio leta Ukristo wanajijua na walio leta uislamu wanajijua Vizuri wanajuana hapo mmoja kadanganywa vibaya mno, japo wote mwajiona mpo sahihi.....

Sikuona haja ya muislamu kumchukia mkristo walo mkristo kumchukia muislamu......Mungu ndiye anayejua kikubwa ni Wote muwe na moyo wa kumtafuta Mungu uwe muslim au christian, Mungu atatuhurumia ambao tumedanganywa kupita njia sahihi
 
Back
Top Bottom