Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu habari zenu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ame-share picha hizi akiombewa mbele ya Madhabahu na Pastor Tony Kapola katika ibada maalum. Pastor Kapola alimwombea Makonda hekima na ulinzi katika utendaji wake.
Pia, Soma:
+ Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
+ Hakuna kitu cha maana Paul Makonda anafanya Arusha isipokuwa blaa blaa na vituko