Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ame-share picha hizi akiombewa mbele ya Madhabahu na Pastor Tony Kapola katika ibada maalum. Pastor Kapola alimwombea Makonda hekima na ulinzi katika utendaji wake.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ame-share picha hizi akiombewa na Pastor Tony Kapola katika ibada maalum. Pastor Kapola alimwombea Makonda hekima na ulinzi katika utendaji wake.
Pale motivatinal speaker alipo peleka karama yake kwenye uchungaji na kuzalisha fedha nyingi. ANAPO kutana na mtu mwenye uchu ya madaraka na vyeo. Anayejipendekez kwa kanisa iliapate wafuasi wengi nyakati hizi za kampeni. Sifa kwa viongozi wa dini aonekane mtu mwema.
Ikumbukwe alisha mpiga GSM hati ya nyumba
Siku hizi watu Hawamfati Mungu wanafata Dini na kiongozi wa kiroho prophet anachosema lengo wafanikiwe kwenye biashara zao na sio kujifunza neno la Mungu