heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Sasa huyu bibie penseli ndio kavaa nini jamani
teh teh teh... ni hivi diamond anamnunulia mafuta mazuri, vinginevyo.....Ila jamaa una sura ngumu wewe!!
Hua hajui kupangilia nguo pia hajui kuchagua nguo,sijawahi kumuona kapendeza hata siku moja, hapo utafikiria kavaa dekio
Samahani....hivi haka kamjaa naye ni celebrity wa bongo.
Ila jamaa una sura ngumu wewe!!