BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi (CHADEMA) Joseph Haule aka Profesa Jay ameanza mpango maalumu wa kurudisha mwili wake baada ya kuugua kwa muda mrefu (takriban mwaka mmoja).
Jay amepost picha zikimuonesha akiwa na mdogo wake Black Rhyno wakiwa wanapiga Kitimoto eneo la Kazimoto Pork Segerea Dar es Salaam.
Mungu ni mwema sana kwa uhai wa Jay