Picha: Profesa Jay amuonesha 'mama mtoto wake', 'Mama Lisa'

Picha: Profesa Jay amuonesha 'mama mtoto wake', 'Mama Lisa'

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
Profesa%20na%20mama%20lisa_full.jpg

Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. .... What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE
Ukiiangalia kwa makini picha hiyo utagundua kuwa Profesa ameshikilia fimbo na mavazi ambayo alikuwa anafanyia shooting ya wimbo wake 'Tatu Chafu'. Usiongeze neno. Chukua sentensi alizoandika mkubwa.
 
Back
Top Bottom