Uliwahi ona Wachina wangapi au South Koreans wanatoroka nchi kukimbilia North Korea?
Kwa upande mwingine, raia zaidi ya 30,000 (elfu thelathini) wa North Korea walikimbilia South Korea. Na mpaka wao una senyenge, mabomu ya ardhini, uzio na walinzi wenye silaha na amri ya kumuua yeyote anayetaka kutoroka nchi. Nyuma ya hizo successful defections kuna ambazo hazikufanikiwa waliouwawa na kukamatwa.
China sababu haina mpaka mgumu na N. Korea hupokea defections nyingi ila huwa inawarudisha au inawaweka kwenye viwanda kuwatumikisha, au wanaume wa Kichina ambao ni rejects kwenye jamii huwaoa wanawake wa North Korea waliotoroka au human traffickers wa China huwachukua hao wakimbizi.
Korea iwe vizuri alafu raia wake wafe wakitoroka nchi? Mfano mwanzilishi wa Samsung ni mtoro wa North Korea aliyekimbilia South. Sasa Samsung inapata faida kwa mwaka kubwa kuliko bajeti nzima ya North Korea 😀