Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Huko kwao yawezekana ni the latest "fashoo"!Halafu suruali pana husaidia kwenye kukimbia na kurusha mateke makali/mawashi-geli!😎wanajiweza hao jamaa.
shida ipo kwa Kiduku kutuvalia mabwanga mwaka mzima,suruali kaa pipa la maji.
inawezekana pia maana Kiduku ni mkali kwenye sarakasi.kibonge mwepesi yule.Huko kwao yawezekana ni the latest "fashoo"!Halafu suruali pana husaidia kwenye kukimbia na kurusha mateke makali/mawashi-geli!😎
Waandikiane barua za urafiki(pen-pals)na handsome Petero Msechu waunde combo.inawezekana pia maana Kiduku ni mkali kwenye sarakasi.kibonge mwepesi yule.
Uliwahi ona Wachina wangapi au South Koreans wanatoroka nchi kukimbilia North Korea?Acha uongo ni kweli wapo vyema shida ni namna wakubwa wa dunia walivyowatangaza kwa dunia vibaya ila kiuhalisia hawapo kama tunavuyoaminishwa. NB usipokuwa unakubali rasilimali zako kuliwa na wakubwa na kukupangiwa nini cha kufanya lazima wakuchafue taswira yako usisahau tuliambiwa Russia hana uwezo wa kupigana vita miezi mitatu sasa ni kipindi gani kimepia je uchumi wake ukoje.
We jamaa umejawa Ujuaji wakijinga usio na Maana unajiona mjuaji wakila JamboUliwahi ona Wachina wangapi au South Koreans wanatoroka nchi kukimbilia North Korea?
Kwa upande mwingine, raia zaidi ya 30,000 (elfu thelathini) wa North Korea walikimbilia South Korea. Na mpaka wao una senyenge, mabomu ya ardhini, uzio na walinzi wenye silaha na amri ya kumuua yeyote anayetaka kutoroka nchi. Nyuma ya hizo successful defections kuna ambazo hazikufanikiwa waliouwawa na kukamatwa.
China sababu haina mpaka mgumu na N. Korea hupokea defections nyingi ila huwa inawarudisha au inawaweka kwenye viwanda kuwatumikisha, au wanaume wa Kichina ambao ni rejects kwenye jamii huwaoa wanawake wa North Korea waliotoroka au human traffickers wa China huwachukua hao wakimbizi.
Korea iwe vizuri alafu raia wake wafe wakitoroka nchi? Mfano mwanzilishi wa Samsung ni mtoro wa North Korea aliyekimbilia South. Sasa Samsung inapata faida kwa mwaka kubwa kuliko bajeti nzima ya North Korea 😀
wewe hizo senyenge uliziona mchambuzi gani unalishwa matango pori , sasa hio samsung ni ya leo ina miaka mingapi kama mtu aliamua kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine kwani ni shida?Uliwahi ona Wachina wangapi au South Koreans wanatoroka nchi kukimbilia North Korea?
Kwa upande mwingine, raia zaidi ya 30,000 (elfu thelathini) wa North Korea walikimbilia South Korea. Na mpaka wao una senyenge, mabomu ya ardhini, uzio na walinzi wenye silaha na amri ya kumuua yeyote anayetaka kutoroka nchi. Nyuma ya hizo successful defections kuna ambazo hazikufanikiwa waliouwawa na kukamatwa.
China sababu haina mpaka mgumu na N. Korea hupokea defections nyingi ila huwa inawarudisha au inawaweka kwenye viwanda kuwatumikisha, au wanaume wa Kichina ambao ni rejects kwenye jamii huwaoa wanawake wa North Korea waliotoroka au human traffickers wa China huwachukua hao wakimbizi.
Korea iwe vizuri alafu raia wake wafe wakitoroka nchi? Mfano mwanzilishi wa Samsung ni mtoro wa North Korea aliyekimbilia South. Sasa Samsung inapata faida kwa mwaka kubwa kuliko bajeti nzima ya North Korea 😀
Wewe hizo picha ulizoleta uliziona wapi? Kama picha za majengo umeziona, picha za uzio zinashindwaje kuonekana? Video za defections zipo nyingi tu, na unazijua ila unakaza fuvu.wewe hizo senyenge uliziona mchambuzi gani unalishwa matango pori
Samsung inapata net profit (baada ya kufanya matumizi yote) inayozidi bajeti ya North Korea. Hapo huoni shida? Yani Kenya wawe na kampuni moja yenye faida kuliko bajeti ya Tanzania alafu useme Tanzania ina maisha mazuri.sasa hio samsung ni ya leo ina miaka mingapi kama mtu aliamua kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine kwani ni shida?
Mkiambiwa ukweli mnasema mmepakwa matope. Unataka tuseme North Korea inaizidi uchumi na miundombinu South Korea?Wewe tuletee ushahidi mzee acha ngonjera zako mabwana zenu wakishaona hupelekeshwi ndio njia wanatumia kukupaka tope.
Yamekushinda ya kutetea N. Korea nchi inayopokea misaada ya chakula.We si unaona hata uchambuzi wako juu ya urusi kwenye lile jukwaa la international ulivyoangukia pua sasa kule unaonekana kwa tochi.
Wewe kilaza inakuuma nini mimi kuwa mjuaji. Nawewe nenda mada unazoweza kuonyesha ujuaji, za kina Juma Lokole na sijui nani BirianiWe jamaa umejawa Ujuaji wakijinga usio na Maana unajiona mjuaji wakila Jambo
Mada Hapa ni Miundombinu ww unaleta Upuuzi Usio husiana na mada husika
soon chini ya makonda Arusha might be like pyongyangKumbe kiduku kwa miundo mbinu hayuko vibaya sana.
Tren zinaendelea kujaTreni zenyewe za SGR hadi leo ndo vile ,dar kuna treni kama zile??
Dar ni takataka huwezi ifananisha na PyongyangDars
Hata Dar si ipo hivihi tu. Apatikane tu mpiga picha mzuri