ulikuwa haujalijua hilo? mfumo mzima wa tanzagiza umejengwa hivyo masikini ndiyo huudumia na kulinda politburo na familia zao, serikali ipo kwa ajili ya politburo, tanzagiza ndiyo nchi pekee mwenye kila kitu anapewa vitu hata haviitahitaji, chukulia mfano raisi kujengewa nyumba mtu ambaye ana nyumba mpaka usa au sijui dubai na analipiwa kila kitu mpaka kufa na familia yake lkn bado anajengewa nyumba extra, umesahau mke wa mkubwa alivyopeleka bungeni kutaka wake wa wakubwa pia walipwe mishahara na mafao? watu ambao tayari wana kila kitu bado wanataka kuchukuwa hata kidogo cha masikini, tanzagiza ni satanic from its inception, na ndiyo maana hawajali chochote …