PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20

Qumanina zake, kikao cha nini wakati wananchi wako wanakufa?
 
Dah kweli wanawake wana roho mbaya sana na hawafai kiwa viongozi. Hivi wewe kama Rais wa nchi yanatokea majanga kama haya unapata wapi guts za kisafiri na kuacha wananchi wako wapo kwenye vifusi tena eneo linalokupatia mapato ya kodi makubwa kama Kariakoo?

Women aisee
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ovyo kabisa wananchi wako wamefukiwa wewe unaenda kuzurura, si ungetuma mwakilishi
 
Duh 🙄 ! 😱 !
 
Kuna pongezi nyingi kwa mama kisa kualikwa kwenye mkutano wa nchi tajiri 20 ama maarufu kama G20.
Lakini mimi naamini kama rais anawatetea wananchi dhidi ya mikataba ya kimangungo hawezi kukaribishwa huko.
Mama kajifichia kwenye kukopa sana ili ionekane miradi inatembea kumbe ki uhalisia hicho ni kifungo cha wananchi kwa miaka mingi mbele ijayo kwa sababu inaenda kuondoka na rasilimali zetu muhimu pasipo wananchi kunufaika moja kwa moja.

Kama nchi inaingia mkataba na DP World kusimamia bandari zote za baharini na ziwani kwa mkataba mrefu. Lakini chawa wanakuja kudai mkataba wa Dp World ni kusimamia bandari ya Dar es salaam pekee, unabaki unajiuliza hawa watu wamesoma kweli mkataba huo husika?
Kwa mkataba serikali ya awamu ya 6 iliyoingia na Dp world, ni busara tu za DP WORLD wasiamue kuji expand kwenye bandari za maeneo mengine kwa sababu mkataba wa awali HGA unawapa haki ya kusimamia bandari zote za Tanzania kuanzia baharini hadi bandari za ziwani.
Mbaya zaidi unauza mali za watanganyika kirahisi hivyo huku mali na bandari za Zanzibar ukiziogopa kwa sababu Tanganyika sijui inachukuliwaje?
Unaondoka kwenye nchi yako angali kuna watanzania bado wapo kwenye mapango wakipambania roho zao kutokana na ghorofa kuporomoka katikati ya jiji la kibiashara. Hii inaleta picha gani hata kwa hao waliokukaribisha kwenye huo mkutano, si watakuwa hawana imani na wewe endapo wataruhusi wawekezaji kutoka kwenye nchi zao?

Kwa staili ya viongozi kama hawa lazima tualikwe sana kwenye mikutano ya wakubwa maana wanajua madalali wa nchi zao watafika bei wakiwa huko huko kwenye mikutano.
 
TUNGEWEZA KUTUKMIA NJIA YA ASILI,

TUNGEPANGA MISTARI KUMI,
WENGINE WANAJAZA UDONGO KWENYE NDOO.

WENGINE KWENYE FOLENI TUNAJAZA MALOLI 200 MENDE.

NDANI YA MASAA KUMI KUSINGEKUWA NA KIFUSI WATU WOTE WANGEPONA.

SELIKALI HAINUNUI HATA MITAMBO YA UOKOAJI.

NI LAANA KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KUZALIWA KWENYE HILI TAIFA
 
Hamna kiongozi hii ni kwa ndugu zetu waliopoteza maisha leo k/koo
Mods Mods kwanini mlimpiga Ban huyu member jamani. Naomba Max aaanze kuangalia hawa watu wake isije kuwa Chawa wa buku 3 wamejipenyeza kwenye ajira hapo JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…