GK ndo kaniacha hoi na tabasamu lake.. sijui mchecheto..
haahhahah loh nilidhani pekeyangu haha usifanye mchezo kupiga picha na Mh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GK ndo kaniacha hoi na tabasamu lake.. sijui mchecheto..
Ndo maana hata kagame ana2dharau na ku2tukana.... Ha2na maana ya kuona ya maana..ma shwain
Vp watoto yatima na wasiojiweza watafuturishwa lini? au haipo kwenye ratiba maana leo ni Ramadhani 27 .....................
hamna baya yupo na wasanii wenzake.
Halafu wakifa anawapotezea kama alivyompotezea Ngwair.
Dr Slaa, akiona hivi basi roho inamuuumaaa!
Sifahamu dhana ya kufuturisha imekaaje!
Je wanaoalikwa ni Bongofleva Waislamu au wote?...
Na je unapomfuturisha mtu mwenye uwezo wa kutosha (kama hao Bongofleva) na kuwaacha wananchi masikini wanaofukuzana kupata muhogo wa kuokota ili kuandaa futari, ni swahihi?
May we all hail the President?....Amen!
Hail kwa kufuturisha wenye uwezo na kuwaacha maskini? Go to hell you and your Kikwete