Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

Kagame ingawa ni Dikteta sugu ila ana akili sana anawazidi kwa mbali mno hawa marais wa East Africa. Wa pili ni Kenyatta...

Wengine hawa ni mwendo wa kudra za mwenyezi Mungu.
Akili ya kunywa damu sasa hako kakijiji tilioni 7 tu alizompiga mwanafunzi wake si kanabadilika sekunde tu.
Azalishi anapiga congo na tza
 
Kuanzia mtoa uzi na mchangiaji wewe mnatumia lugha za mauzi na zinazokera.
Ukiwa kiongozi lazima utukanwe tu. Wala huwezi kukwepa na kama unaumia utaumia sana maana kadri siku zinavyoenda ndio matusi yatazidi
Ipo hivi, ikiwa kiongozi hutaki utukanwe basi achia uongozi nenda kalee wajukuu
 
Very unfair aisee. Licha ya kwamba ni Rais ambaye humpendi, kumbuka kuna watu wanamuita mama. So umemkosea sana adabu aisee
Mkuu kiongozi ni lazima utukanwe
Kama kiongoz hataki kutukanwa basi aachie uongozi akalee wajukuu
 
Ukiwa kiongozi lazima utukanwe tu. Wala huwezi kukwepa na kama unaumia utaumia sana maana kadri siku zinavyoenda ndio matusi yatazidi
Ipo hivi, ikiwa kiongozi hutaki utukanwe basi achia uongozi nenda kalee wajukuu
Nionyeshe katiba au kifungu cha sheria kinachoruhusu hayo,maana mkiminywa mnakimbilia kweny balozi za wazungu,beside matuc mnayotukana hayajawahi kupunguza ugum wa maisha au hata kukupunguzia stress ulizo nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…