W Wazo Kuu Senior Member Joined Oct 21, 2018 Posts 114 Reaction score 295 Sep 15, 2021 #1 Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki katika maadhimisho ya siku ya Demokrasia duniani katika ukumbi wa Diamond Jubilee.Fuatilia kupitia Ikulu Mawasiliano Link. Saa 5.20 Inafuata Burudani kutoka TBC Saa 5.30 Kikundi cha watoto wa Mama.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki katika maadhimisho ya siku ya Demokrasia duniani katika ukumbi wa Diamond Jubilee.Fuatilia kupitia Ikulu Mawasiliano Link. Saa 5.20 Inafuata Burudani kutoka TBC Saa 5.30 Kikundi cha watoto wa Mama.
Dead Man JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 709 Reaction score 827 Sep 15, 2021 #2 Kazi iendelee
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Sep 15, 2021 #3 Ni siku ya demokrasia au ni siku ya wanawake?